General Galadudu
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,868
- 2,200
Maana tunaambiwa kuna mamilioni ya pesa, mabilioni na ma trillion sasa ukitoka hiyo TRILION unaingia ngapi au ndo inakuwa mwisho wa kuhesabu?
Itakuwa QWATRILIONMaana tunaambiwa kuna mamilioni ya pesa, mabilioni na ma trillion....... sasa ukitoka hiyo TRILION unaingia ngapi au ndo inakuwa mwisho wa kuhesabu?
Mkuu wakati naisoma signature yako nilijua sijui kilugha gani...akili ilivyodigest ndio nikaona ni kiswahili kumbe.quadrion
Jibu sahihi ila spelling ni quadrillionquadrion
PentallionMaana tunaambiwa kuna mamilioni ya pesa, mabilioni na ma trillion....... sasa ukitoka hiyo TRILION unaingia ngapi au ndo inakuwa mwisho wa kuhesabu?
WonderfulTrilion1= 1,000,000,000,000
Pillion1= 1,000,000,000,000,000
Kilion1= 1,000,000,000,000,000,000,000
Unaingia "shitabhalwa"Maana tunaambiwa kuna mamilioni ya pesa, mabilioni na ma trillion....... sasa ukitoka hiyo TRILION unaingia ngapi au ndo inakuwa mwisho wa kuhesabu?
Pia inaendeleaName..... number of zeros .........,groups of (3) zeros
example Trillion 12 4 (1,000,000,000,000)
Quadrillion 15 5
Quintillion 18 6
Sextillion 21
Lakioneaukiwa na mabilion we ni bilionea
ukiwa na mamilion we n milionea
ukiwa na malaki?
ukiwa na maelf? unaitwajeee
Mkuu wewe ni wa ngudu, geita, kahama, shinyanga, bariadi au wapi tutambuaneUnaingia "shitabhalwa"