General Galadudu
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,868
- 2,233
- Thread starter
- #21
Hadi muda huu bado hata cjui jibu sahihi ni lipi hapo, kila mtu katiririka anavojua yeye
Mkuu hata mimi niliwahi kuuliza swali hilo humu!!mwisho wa pesa ni sh!ngapiMaana tunaambiwa kuna mamilioni ya pesa, mabilioni na ma trillion....... sasa ukitoka hiyo TRILION unaingia ngapi au ndo inakuwa mwisho wa kuhesabu?
hahahahahaLakionea
Umekaa sana pale kawetereName..... number of zeros
example name Trillion number of zeros 12
Quadrillion number of zeros 15
Quintillion number of zeros 18
Sextillion number of zeros 21
ukiwa na maelfu utaitwa alfu Lela ulela na malaki unaitwa lakioneaukiwa na mabilion we ni bilionea
ukiwa na mamilion we n milionea
ukiwa na malaki?
ukiwa na maelf? unaitwajeee
Umekaa sana pale kawetere
buku?ukiwa na maelfu utaitwa alfu Lela ulela na malaki unaitwa lakionea
hahahahahukiwa na maelfu utaitwa alfu Lela ulela na malaki unaitwa lakionea
hamna kitua apo mkuuWonderful
ukiwa na buku huitwibuku?
Trilioni na mojaLakionea
co bukuoneo?ukiwa na buku huitwi
JamaniItakuwa ni villion bila shaka, au ulioni?!
Lakionea na elfuoneaukiwa na mabilion we ni bilionea
ukiwa na mamilion we n milionea
ukiwa na malaki?
ukiwa na maelf? unaitwajeee
Jibu sio sahihi mkuuJibu sahihi ila spelling ni quadrillion
😀 General Galadudu nina watani zanga tu huko wengi.Mkuu wewe ni wa ngudu, geita, kahama, shinyanga, bariadi au wapi tutambuane