chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,183
- 25,424
Quadrillion kama ni pesa basi uchumi wa dunia haujafikia huko ukiacha lile jiwe la NASA.
uchumi wa dunia ni quadrillion 73 kama sijakosea
Quadrillion kama ni pesa basi uchumi wa dunia haujafikia huko ukiacha lile jiwe la NASA.
So we sio wa huko?😀 General Galadudu nina watani zanga tu huko wengi.
Quadrillion baada yake kuna Quatrillion na ya mwisho ni Krillion. Chukua hii no kweli kweli mtupuJibu sahihi ila spelling ni quadrillion
fucklion inafataMaana tunaambiwa kuna mamilioni ya pesa, mabilioni na ma trillion sasa ukitoka hiyo TRILION unaingia ngapi au ndo inakuwa mwisho wa kuhesabu?
hahahahaLakionea na elfuonea
ha h haaaaaa Nanukuu "ninaweza kukufukuza kwenye mloa wangu ukaondoka na ndala tu"Mkuu wakati naisoma signature yako nilijua sijui kilugha gani...akili ilivyodigest ndio nikaona ni kiswahili kumbe.
Naitafakari hii kilion 1 inaingia buku buku ngap? DuhTrilion1= 1,000,000,000,000
Pillion1= 1,000,000,000,000,000
Kilion1= 1,000,000,000,000,000,000,000
Lakia.... Elfia.ukiwa na mabilion we ni bilionea
ukiwa na mamilion we n milionea
ukiwa na malaki?
ukiwa na maelf? unaitwajeee
Trilion1= 1,000,000,000,000
Pillion1= 1,000,000,000,000,000
Kilion1= 1,000,000,000,000,000,000,000
Acha uongo, hamna pillion wala kilion!Trilion1= 1,000,000,000,000
Pillion1= 1,000,000,000,000,000
Kilion1= 1,000,000,000,000,000,000,000