Hivi ukitoa NBCPL, Azam TV wana nini kingine?

Hivi ukitoa NBCPL, Azam TV wana nini kingine?

Naachana na wewe kiazi.
Dogo acha kuishi kwenu. Kajitegemee
Una mke halafu unaishi kwenu? Wanawake wanahuruma sana Kinywa chako kimajaa matusi, utakuwa jana ulimaliziwa chakula kwasababu ya udhurulaji😁😁😁
 
Kumbe bado unaishi kwenu😁😁😁😁
Jitegemee ndiyo utajua vitu vizuri na vya kijinga. Umekaa hapo kwenu wanatumia Startimes ukaona matangazo ya DSTV ya Juakali ukaanza kutukana watu😁😁😁😁
Ukichukua Azamtv na Startimes kwa pamoja bado wanapelea mbali sana kwa DSTV.
DStv nitaimiliki Siku sio nyingi
 
Ukitoa watu dunia inabaki na nini?

Kwanini utoe mpira in first place ? Azam ipo ilivyo sababu ya mpira
Kwahyo kipindi hichi ligi ya bongo imeisha havina kazi tena, tusubiri LIGI ya bongo ianze
 
Unapenda kuangalia nini?

Mimi siyo mtu wa TV, ila home walinunua Startimes kwaajili ya kuangalia Tamthilia tu
DOCUMENTARIES channels
👉ID na Fox Crime aisee kuna ma documentaries ya kufa mtu kuhusu uhalifu na upepelezi unavyofanyika.. wale wajinga wanajua kupepeleza aisee mpaka unaona kama askari wetu wanacheza tu.... inakua kama unaangalia movie vike

👉History na Geography, kuna ma documentaries ya kihistoria za kale na mambo ya jiografia ya dunia na ulimwengu kiujumla.... very interesting

👉Investigation kuna mdoumentaries ya pelelezi za maana za majanga ya kidunia, ajali za ndege na ajali na majanga mengine makubwa

👉Animals, kuna chaneli kama tatu hivi zina documentary nzuri za wanyama pori na domestic

REALITY channels
Kuna chaneli nzuri zinaonyesha reality kwenye ukaguzi viwanja vya ndege, kusaka wahamiaji haramu, madawa ya kulevya nk

NEWS channels
Una switch tu CNN, BBC, El Jeezira, Fox, Sky News BBC, CGTN

MOVIES channels
Kuna kama M- Net cheneli kama 10 hivi unachagua tu Genre unataka, na bado zipo
Na bado kuna chaneli zingine kibao za movies plus cartoon kibao

MICHEZO
Soka ligi kubwa zote unaziona
NBA live
WWE live, Boxing live, MMA live(these are my best sports channels)
Riadha, formula one, baiskeli,
In short ni michezo mikubwa yote

Ukija kwa akina Azam na Startimes wameokoteza okoteza kidogo sana, wamejaza mavipindi ya hovyo yanajirudia rudia hadi unachoka
 
Zamani nilipokua sina majukumu nilikua naangalia sana TV.

Niko na ving'amuzi viwili, Azam na DSTV.
Lini natumia king'amuzi cha azam?

1. Matukio ya kitaifa "Live" kuputia UTV wako vizuri sana yaani sana ukilinganisha na FTA chanel zingine
2. Mpira hasa AFCON (kwa timu za TZ) ligi ya bongo siangaliagi sana labda siku hiyo ni Simba vs Yanga; but wana familia wangu ndo huwa wanafuatilia.

Natumia DSTV kwa ajili ya World Class sport events mfano EPL, UEFA, Marathon etc.
Ving'amuzi vyote havina movie channels za kukufanya ukae uangalie, ni movies za zamani, labda km huna addiction na latest moview na teknologia, kiukweli kaa sasa siwezi kaa nikaangalia movie ya miaka 5 iliyopita!

Ukitaka muvi bora udownload zako uangalie kwa PC.

Star Times sijawahi kuwa nayo ila sidhani km ina kitu cha kuizidi Azam, hasa kwenye urushaji wa matukio ya kitaifa, sasa hivi tunaingia muda wa uchaguzi, uchambuzi mzuri unatoka UTV maana watangazaji wake wengi ni wale watabel waliotoka medoa zingine.
 
Kama channel za movie ni chache Sana, Cinema zetu yenyewe kuna kipindi ilikua nzuri walikua wanaweka single movie nzuri kuanzia asubuhi Hadi usiku, usiku ndio walikua wanaweka tamthilia za Kiswahili, lakini sasahivi ni kutwa nzima wanaweka tamthilia ambayo nzuri ni moja tuu.

Ukitoa Mpira wa kibongo startimes NI Bora kuliko Azam TV

NI wakati sasa wa kununua DSTV au STARTIMES.

Wenye DSTV vipi na huko? Au nihamie STARTIMES??
Weka visimbuzi vyote. Kila kimoja kina faida yake kwa wakati wake
 
😁😁😁😁
Naona unajikosha, uliponiambia mimi ni msenge wa kulipia 160,000 DSTV wa kuangalia WWE na Juakali nikajua wewe unaishi kwenu.
Unakula bure, unalala bure na unakunya bure nyumbani huwezi kuijua DSTV. Kajitegemee ndiyo utajua utamu wa DSTV😁😁😁
Hyo dstv nikiweka kodi au cricify hainiambii kitu
 
Hyo dstv nikiweka kodi au cricify hainiambii kitu
Hapa tunaongelea visimbuzi na siyo kodi au cricify
Kumbuka kodi au cricify inahitaji access ya internet.
Ukija kwenye bando 1GB ni 2100, je hiyo 1GB utaweza kuangalia mwezi mzima?
 
Back
Top Bottom