Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,526
- 7,289
Nafikiri huwa unaisikia DSTV. Ukitoa mpira, bado Azamtv haifikii hata robo.Ukitoa mpira wa Ulaya, DStv kuna nini?
Startimes labda tamthilia
Mule unapata unachokihitaji mpaka WWE channel yake ipo
Nafikiri huwa unaisikia DSTV. Ukitoa mpira, bado Azamtv haifikii hata robo.Ukitoa mpira wa Ulaya, DStv kuna nini?
Startimes labda tamthilia
Taja hizo za Startimes ambazo ni nzuriWewe sasa ndio umeongea ukweli, ukitoa league ya bongo startimes Wana channel nzuri kuliko azam
Kulinganisha nini?huwezi linganisha DStv na Azam Acha ushabiki
Kwamba unalipia 160,000 kuangalia WWE na Juakali.Nafikiri huwa unaisikia DSTV. Ukitoa mpira, bado Azamtv haifikii hata robo.
Mule unapata unachokihitaji mpaka WWE channel yake ipo
Kwangu zipoNa siku hizi zile MBC channels wameziondoa
Mkuu mi sio mpenzi wa soka kivilee lakini naona kama DSTV wanajitahidi sana kuliko Azam na StartimesKulinganisha nini?
Kwa taarufa yako DStv ni mpira wa Ulaya, ambao mnalipia Tsh 160,000 kwa mwezi wakati sisi tunaangalia BURE.
Endeleeni kutapeliwa.
Unapenda kuangalia nini?Mkuu mi sio mpenzi wa soka kivilee lakini naona kama DSTV wanajitahidi sana kuliko Azam na Startimes
Nina jamaa zangu wawili wana DStv, na huwa wanalipia Tsh 160,000 kila mwezi.Huwa unaona matangazo tu na hujawahi kuitumia.
Ukiona Juakali unafikiri ni kama kipindi ambapo mshu* wakx alimla mazelz wakz kiboga kisha akamnyonysh mazel wsk kishw akaweka kweny Ps ndiyo ukapatikana wewe
Siyo DSTV wanajitahidi, ila DSTV huwezi kuifananisha na Azam kwa kila kitu. Azam amejaza uchafu, huwezi kukaa ukaangalia ukaenjoy.Mkuu mi sio mpenzi wa soka kivilee lakini naona kama DSTV wanajitahidi sana kuliko Azam na Startimes
mm sio mfuatiliaji wa tv sana ila kuna tamthilia flan nlikua naona watu wanajzana seblen inaitwa alpaslan sjawahi elewa maaana sjaiangalia ila naona watu hapa huwaambii kituKama channel za movie ni chache Sana, Cinema zetu yenyewe kuna kipindi ilikua nzuri walikua wanaweka single movie nzuri kuanzia asubuhi Hadi usiku, usiku ndio walikua wanaweka tamthilia za Kiswahili, lakini sasahivi ni kutwa nzima wanaweka tamthilia ambayo nzuri ni moja tuu.
Ukitoa Mpira wa kibongo startimes NI Bora kuliko Azam TV
NI wakati sasa wa kununua DSTV au STARTIMES.
Wenye DSTV vipi na huko? Au nihamie STARTIMES??
Kumbe bado unaishi kwenu😁😁😁😁Unapenda kuangalia nini?
Mimi siyo mtu wa TV, ila home walinunua Startimes kwaajili ya kuangalia Tamthilia tu
Usitake kunijua humu, utakuja kufa kwa kupenda kujionesha humu.Kumbe bado unaishi kwenu😁😁😁😁
Jitegemee ndiyo utajua vitu vizuri na vya kijinga. Umekaa hapo kwenu wanatumia Startimes ukaona matangazo ya DSTV ya Juakali ukaanza kutukana watu😁😁😁😁
😁😁😁😁Usitake kunijua humu, utakuja kufa kwa kupenda kujionesha humu.
Kwa taarifa yako, anaengalia hizo tamthilia ni wife.
Mimi sina muda na TV.
Naachana na wewe kiazi.😁😁😁😁
Naona unajikosha, uliponiambia mimi ni msenge wa kulipia 160,000 DSTV wa kuangalia WWE na Juakali nikajua wewe unaishi kwenu.
Unakula bure, unalala bure na unakunya bure nyumbani huwezi kuijua DSTV. Kajitegemee ndiyo utajua utamu wa DSTV😁😁😁
Kawaulize kwanini wanalipia. DSTV labda km hauna hela. Hapa bongo sijaona kisimbusi cha kuifananisha na DSTV, ukitoa DStv mbadala wake ni canal+Nina jamaa zangu wawili wana DStv, na huwa wanalipia Tsh 160,000 kila mwezi.