Hivi ukigundua mumeo anaku-cheat na inajulikana public, utafanyaje?

utafanya nini na ameshaamua???? na mpaka amefikia kuweka wazi in public inamaana amemuona huyo ni bora zaidi. huna cha kufanya na mapenzi hayalazimishwi chukua hamsini zako. unatakiwa kujiuliza alichokosa kwako nini mpaka ameamua kwenda kwa mwingine tena ameweka wazi ujue hakutaki tena hata kama anarudi kwako anarudi tu lakini hamna mapenzi tena hapo au anarudi sababu ya watoto tu. Wengine wanasema huyo ni mume wako hivyo uvumilie ubebe msalaba wako. Msalaba upi?? utavumilia mangapi? tatizo letu sisi waafrika wengi wetu sio wote hatuna maamuzi mambo ya kuvumilia ujinga yalishapitwa na wakati achana nae songa mbele. Na pia huwa tunapenda kujiuliza nikitoka watu watanielewaje??? au nakwenda kuanzia wapi??? nitaweza kweli mimi???? NANI ALIKWAMBIA KWAMBA MAISHA BILA YEYE HAKUNA TENA??? tuache ujinga wanawake tuamke........ YEYE AKIKUKUTA WEWE UNCHEAT MBONA NI RAHISI KUKUACHA WALA HAJIULIZI MARA MBILIMBILI?? MBONA WAO WANAWEZA KWANINI SISI TUSHINDWE????????????

HAYO NI MAONI YANGU TU "KWA MIMI BINAFSI NAACHANA NAE"
 
mwanamke mjinga atavunja ndoa yeke kwa mikono yake, ye mwenyeweeee

kwa hiyo tuko unataka kutuambia mwanaume anaecheat ndio anajenga nyumba yake au anaibomoa au unamaanisha nini??? Au huo usemi ndio unataka tuvumilie ujinga sababu utaambiwa "mwanamke mjinga atavunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe??? Mi naona huo ni usemi tu hauna maana yoyote na umeshapitwa na wakati
 
Kwa sasa sijui ...jambo mpaka likufike ndo utakuwa na maamuzi lakini sasa usiusemee moyo...
 
kwa hiyo tuko unataka kutuambia mwanaume anaecheat ndio anajenga nyumba yake au anaibomoa au unamaanisha nini??? Au huo usemi ndio unataka tuvumilie ujinga sababu utaambiwa "mwanamke mjinga atavunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe??? Mi naona huo ni usemi tu hauna maana yoyote na umeshapitwa na wakati
Mi nimeyachukua yalivyo kwenye biblia... Sorry kama bible sio imani yako...
 
mi nimeyachukua yalivyo kwenye biblia... Sorry kama bible sio imani yako...

biblia haikumaanisha kwamba mwanaume acheat na mwanamke avumilie tu akubaliane ha hiyo hali kisa ataitwa mjinga amevunja ndoa yake kwa uzinzi wa mumewe no no no mnatafsiri biblia ndivyo sivyo
 
mmm,mwenyezi mungu atustiri manake inavyoumaa,namuomba mungu asinionyeshee balaa kama hilo..
 
biblia haikumaanisha kwamba mwanaume acheat na mwanamke avumilie tu akubaliane ha hiyo hali kisa ataitwa mjinga amevunja ndoa yake kwa uzinzi wa mumewe no no no mnatafsiri biblia ndivyo sivyo

Upendo... huvumilia yote, hustahimili yote, hauweki kumbukumbu ya mabaya, husamehe.... (1Kor 13;1-10)
 
Aisee nikigundua mume wangu ananicheat, nitamyima haki yake.

Kwa taarifa yako hakuna mwanaume asiyecheat. Hata wewe umewahi kucheat aidha kabla ya kuoana au baada ya kuoana. Zingatia tangazo linaloendelea hivi sasa kuhusu 'mtandao wa ukimwa'. Ingekuwa watu hawacheat, ukimwi ulioanzia mkoani kagera kwa nini umesambaa na hadi leo hii hakuna familia ya Kitanzania ambayo haikugushwa na janga hli. Mtandao uko hivi-'' wewe una mme, mme wako anaye bibi wa nje, huyo bibi anaye bwana ambaye ana mademu wengine, na hao mademu wana mabwana wengine ambao kati yao mmojawapo ni bwana wako. Ukilijua hili, utajua kila mtu ameshadanganya kwa wakati fulani.
 
mi nimeyachukua yalivyo kwenye biblia... Sorry kama bible sio imani yako...

biblia haikumaanisha kwamba mwanaume acheat na mwanamke avumilie tu akubaliane ha hiyo hali kisa ataitwa mjinga amevunja ndoa yake kwa uzinzi wa mumewe no no no mnatafsiri biblia ndivyo sivyo
 
Ukigundua hilo kama ni mumeo wa ndoa fanya yafuatayo.

  • Tumia mbinu yeyote ile ili umfumanie live akicheat, najua huwa ngumu lakini kwa msaada wa Mungu unaweza kufanikisha hili.
  • Utakapomfumania, be calm tafuta tabasamu usoni kwako, usifanye fujo wala nini.Kama umewakuta hotel go and kiss your husband, mpe nguo avae then kwa ukarimu kabisa tell him kuwa nimekusamehe mume wangu mpenzi!Take a taxi au kama ana usafiri wake au wako drive him home. Toka hapo pretend as if nothing has ever happened, najua atapunic ila we mwambie nimekusamehe husband coz wewe ni binadamu you arent perfect.
  • From there be kind to him, love him more than before the incidence and above all SALI SANA TENA JITAIDI KUSALI USIKU WA MANANE KAMA WE NI MKRISTO. Nakuhakikishia Mumeo atabadilika.
NOTE:Theoretically this thing is very imple but practically ni ngumu sana pasipo msaada wa Mungu

Mhh...! Unless you give your heart a painkiller will your suggestions be practicable.
 
Mi nimeyachukua yalivyo kwenye biblia... Sorry kama bible sio imani yako...

Ni kweli hayo usemayo yapo kwenye bible...lakini pia kuna mahali bible inasema 'mtu asimuache mke/ mme wake isipokuwa kwa uasherati' au hapo hujawahi pasoma?
 
Ni kweli hayo usemayo yapo kwenye bible...lakini pia kuna mahali bible inasema 'mtu asimuache mke/ mme wake isipokuwa kwa uasherati' au hapo hujawahi pasoma?

Hakuna sehemu iliyoandikwa hivyo kwenye biblia... Papo palipoandikwa ...Hairuhisiwi mtu kumuacha MKE wake isipokuwa kwa uasherati... (mke/mme sijaiona kwenye biblia yangu)
 
Ladies, ladies calm down tafadhali....hivi hili andiko la samehe saba mara sabini lilikuwa limelenga nn hasa?
Kama ni kumuacha subiri umkamate mara ya 490

ok..allow me to laugh on this one ahahhhhah..yaan mpaka acheat mara 490?.. haya bana
 
Hakuna sehemu iliyoandikwa hivyo kwenye biblia... Papo palipoandikwa ...Hairuhisiwi mtu kumuacha MKE wake isipokuwa kwa uasherati... (mke/mme sijaiona kwenye biblia yangu)

ok kwahiyo kwa uelewa wako unaona kuwa mme ndo alimeruhusiwa kumuacha mke kwa uasherati na si mke? ahahhahh...ndugu lilokatazwa kwa mme na kwa mke ni vivi hivyo, God do not have double standards!
 
ok kwahiyo kwa uelewa wako unaona kuwa mme ndo alimeruhusiwa kumuacha mke kwa uasherati na si mke? ahahhahh...ndugu lilokatazwa kwa mme na kwa mke ni vivi hivyo, God do not have double standards!
No, No no.. Mi sijaanza kuongelea uelewa wangu hapa Sashel... Mi naquote tu vijifungu kwenye biblia. ...God do not have double standards... ni one of the most controversial topics kwenye theology. Tuiache...
 
Back
Top Bottom