Huwa najiuliza sana kuhusu hii nchi iitwayo Uingereza, hivi waliwezaje kutawala nchi zote hizo hapa Duniani mbona wamechoka hivyo... Yaani zaidi ya lugha hakuna chochote kingine walichonacho hata Kiingereza chenyewe unaweza kusema ni shauri ya Marekani ndio maana wote leo hii tunataka kujifunza.
Embu angalia Kombela La Dunia wanaondoka kama waliivyokuja hawajashinda mechi hata moja, kweli wakati huo Dunia nzima ilikuwa imelala...Sasa wanaweza nini, Tangu nizaliwe sijawahi kukutana kitu kimeandikwa made in Uingereza ukiachilia Ma land rover ambayo hakuna mtu anataka...watu wana ma GXR8 Toyota
Mkuu Uingereza ni Nci kubwa sana kwa kila kitu interms ya UCHUMI, KIJESHI na kiutamaduni. Kama wengine walivyosema UINGEREZA ipo kwenye G10, ni Nchi ya 6 kijeshi duniani na so far ndo mhisani wetu mkuu.
Kama una paspoti unaelekezwa kuwa endapo upo nchi ambayo haina ubalozi wetu basi tumia ubalozi wa UK utasaidiwa.
Ina mapato makubwa kwenye utalii na elimu kuliko nchi yoyote hapa duniani
Ya Sita Duniani Mbali kote huko, kweli hao jamaa ni choka ni mbaya, Duh! Ndio maana hawajafunga mechi hata moja kombe la Dunia, wametia aibu mpaka basi !
Hapo ktkt kuna akina nani? Nao walikuwa na Himaya kubwa Duniani?
Halafu acha kudanganya watu hapa, yaani mimi nina shida raia wa TZ niende Ubalozi wa Uingereza?
Na nikiwa na shida nchini TZ pia niende Ubalozi wa Uingereza?
Sasa kama ni hivyo ni kwanini ninahitaji viza kwenda huko?
Una paspot au ndo ubishi tu? Mwombe aliyenayo akupe uisome. Ilinitokea mimi nilipoenda PAPUA NEW GUINEA nilihudumiwa na ubalozi wa UKYa Sita Duniani Mbali kote huko, kweli hao jamaa ni choka ni mbaya, Duh! Ndio maana hawajafunga mechi hata moja kombe la Dunia, wametia aibu mpaka basi !
Hapo ktkt kuna akina nani? Nao walikuwa na Himaya kubwa Duniani?
Halafu acha kudanganya watu hapa, yaani mimi nina shida raia wa TZ niende Ubalozi wa Uingereza?
Na nikiwa na shida nchini TZ pia niende Ubalozi wa Uingereza?
Sasa kama ni hivyo ni kwanini ninahitaji viza kwenda huko?
Una paspot au ndo ubishi tu? Mwombe aliyenayo akupe uisome. Ilinitokea mimi nilipoenda PAPUA NEW GUINEA nilihudumiwa na ubalozi wa UK
Una paspot au ndo ubishi tu? Mwombe aliyenayo akupe uisome. Ilinitokea mimi nilipoenda PAPUA NEW GUINEA nilihudumiwa na ubalozi wa UK
Ni kwamba hata hapo Sudani kusini kama hatuna ubalozi basi incase ya tatizo lolote tunakwenda ubalozi wa Uingereza japo kuna ubalozi wa nchi jirani km Kenya na Uganda. Ndo maana nakuambia tafuta passport ya Tz uisome badala ya kubishana ndugu. Nilipokwenda huko Papua New Guinea pale Port Moresby nilitakiwa kwenda huko interior na wao ubalozi walinisaidia sana kunipa information za huko kulivyo na kunielekeza nini cha kufanya na wao waliniahidi incase ya any emergency wao wataact on behalf ya ubalozi wa Tz kwenye kunisaidiaWalikupa huduma gani kwa mfano?Kwa maana sisi siyo sehemu ya Uingereza, sasa ningependa kujua hiyo huduma waliyokupa ni IPI?
Kwa maana nijuavyo mimi kama kuna nchi hakuna Ubalozi wetu huwa kuna Nchi Jirani ambayo inatuwakilisha au kuna Balozi mdogo kwa mfano huko Guinea itakuwa inawakilishwa na Ubalozi wetu Australia kama Upo au hata labda Ujapani
jamaa yangu Uingereza ni kwa kiswahiliWatu waliovalishwa shuleni Vibao vya Iam Stupid for Speaking Kiswahili utawajua tu! Tena dizaini wewe ndio uliokuwa Kiranja wa kuwabandika wenzako vibao migongoni!
jamaa yangu Uingereza ni kwa kiswahili
na kwa kiingereza ni England
Hebu angalia Made in England zivyojaa hapo kwako , anzia na kitasa cha mlango, taa ya umeme kijiko cha chakula nk
km huna hivyo vitu basi ni mchina ambaye ni Fake hachukui mwezi
Ni kwamba hata hapo Sudani kusini kama hatuna ubalozi basi incase ya tatizo lolote tunakwenda ubalozi wa Uingereza japo kuna ubalozi wa nchi jirani km Kenya na Uganda. Ndo maana nakuambia tafuta passport ya Tz uisome badala ya kubishana ndugu. Nilipokwenda huko Papua New Guinea pale Port Moresby nilitakiwa kwenda huko interior na wao ubalozi walinisaidia sana kunipa information za huko kulivyo na kunielekeza nini cha kufanya na wao waliniahidi incase ya any emergency wao wataact on behalf ya ubalozi wa Tz kwenye kunisaidia
Bado unazunguka! Nimekuuliza walikupa HUDUMA GANI? Ningependa kujua Ubalozi wa Uingereza unaofadhiliwa na walipa kodi wa n chi hiyo unawezaje kumpa huduma Raia wa Tanzania!
Hivyo usizunguke sana na kwa kutaka kujaza majina ya Nchi ya nchi wewe niambaie tu HUDUMA waliyokupa wewe kama Raia wa Tanzania, ni rahisi kihivyo...
we jamaa ni mbishi na kichwa ngumu.umeambiwa isome passport kwenye maelekezo uone kimeandikwa kipi.....assistance itatolewa na Tanzanian embassy au British kama eneo hilo halina ubalozi wa Tanzania.....
swali lako halina kichwa wala mguu kwani kazi ya ubalozi ni nini? ukipata tatizo kwenye nchi isiyo na ubalozi wetu utasaidiwa na wa uingereza.......kwa ulivyo kichwa ngumu utauliza msaada gani...mfano ukiibiwa kila kitu ukaenda kujielezea kwa ubalozi wa uingereza(kama wetu haupo) unaweza kusafirishwa kama ni kweli umeibiwa na imethibitika na utapatiwa malazi na chakula.....
Du!wabongo tunashda hv,utawezaje kumkosoa Baba wa viwanda na isitoshe hyo stage kashapita sku nyng kawaachia Wachina na wengne,yeze yupo stage nyngne ya maendeleo ambayo adi bongo kuifikia itachukua miaka mia tano mingine, hyo stage ya vwanda tu bado hatujafka.
Acha kuandika Uongo, Upuuzi na Ujinga, yaani mimi raia wa TZ niende Ubalozi wa Uingereza halafu wanisafirishe kurudi kwetu? Hivi una akili kweli?
Na hiyo gharama analipa nani? Serikali ya Uingereza ama? Na kama Serikali (TZ) hawaifanyii hivyo raia wake hata pale penye Ubalozi iweje Serikali ya Uingereza ifanye hivyo?
Kama wewe leo hii ukienda hata Kongo tu ukaibiwa kila kitu kama ulivyosema ukaenda Ubalozini kwetu hakuna mtu atakusaidia kwa maana ya kukupa fedha hata tu kukusafirisha kurudi Nyumbani TZ kwa maana hakuna hilo fungu pale Ubalozini sasa iweje nchi baki ifanye hivyo kwa Raia ambaye SIYO wake?
unazijua kazi za ubalozi??? iwapo watanzania raia tataamua kuwaua wageni toka kenya serikali ya kenya inabeba jukumu la kusafirisha raia wake warudi kwao...mfano kauchukue Vietnam au kwa wachina.
unajua mimi sikulaumu kwani tangu mwanzo umegundulika ni mbishi asiyejielewa.muulize mtanzania yeyote aliyepatwa na matatizo akiwa ughaibuni alisaidiwa na nani kama si ubalozini.fungu linalowekwa ubalozini ni lipi?? kasome hadithi ya stowaway hata mmoja tu uone ni nani alomgharamia kurudi nyumbani.
btw ule ni mfano wa jinsi gani ubalozi unatoa msaada.uingereza ina balozi karibu kila nchi duniani tofauti na Tanzania.raia wa tanzania huenda nchi yeyote hata zile ambazo hazina uwakilishi wa serikali yao hivyo huduma ambazo zingetolewa na ubalozi wetu hutolewa na wa uingereza.....
ningekuwa babu yako ningekueleza kitu juu ya mkasa uliowahi kumpata Edward snowden wakati anataka kuruka toka Moscow kwenda Cuba.ilishindikana na pengine Evo Morales angejuta kumpakia kwenye ndege yake iliyoandikwa "Bolivian president jet" alikataliwa kutua ureno na ufaransa ili kuongeza mafuta kulitokea mabishano kadhaa kati ya rubani na viongozi wa mataifa hayo.hofu kubwa ilikuwa ni labda ndani ya ndege yumo Edward.Edward aliikosea marekani inakuwaje ufaransa nao wang'ake?? wambea walipouliza kwanini ufaransa inafanya hayo na kwa faida ya nani jibu lilikuwa ni "we are doing this for the benefit of a FRIEND...nilitaka hapo tu mwisho Britain itasaidia as a friend of Tanzania....
Huwa najiuliza sana kuhusu hii nchi iitwayo Uingereza, hivi waliwezaje kutawala nchi zote hizo hapa Duniani mbona wamechoka hivyo... Yaani zaidi ya lugha hakuna chochote kingine walichonacho hata Kiingereza chenyewe unaweza kusema ni shauri ya Marekani ndio maana wote leo hii tunataka kujifunza.
Embu angalia Kombela La Dunia wanaondoka kama waliivyokuja hawajashinda mechi hata moja, kweli wakati huo Dunia nzima ilikuwa imelala...Sasa wanaweza nini, Tangu nizaliwe sijawahi kukutana kitu kimeandikwa made in Uingereza ukiachilia Ma land rover ambayo hakuna mtu anataka...watu wana ma GXR8 Toyota