Kusini kuchele
Senior Member
- May 21, 2023
- 129
- 733
Lakini mimi swali langu je udini wa Samia uko wapiSiku ukitambua kuwa Samia ni kiumbe mbaya sana, basi tambua umekua.
Kwa hakika Sina jibu la hilo swali lakini huyu mwanamke hafai.Najua hilo
Lakini mimi swali langu je udini wa Samia uko wapi
Hilo najua ila kusema ni udini hii sio kweliKwa hakika Sina jibu la hilo swali lakini huyu mwanamke hafai.
lamu kutoka oman ndiyo udini? Je udini wake uko wapi hapo?siku ile amejitwalia madaraka salamu ya kwanza ya pongezi ilitoka Oman au haukuwa ukifuatilia?
Yeah.Ndiyo kuhusu h
Hilo najua ila kusema ni udini hii sio kweli
Hata ajaze wote wao wake au waislam wote sawa tu lakini tuone matokeo, siyo longolongo.Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo samia suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa samia uko wapi? Au udini wa samia anaufanyia wapi? Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana kuna idadi kubwa ya wakristo Kati wateule wake kuliko waislamu?
Je udini wa Samia uko wapi? Na mbona kiongozi akiwa muislamu hizi kelele za udini ni nyingi sana kuliko akiwa wa dini nyingine?
Moderator mimi nauliza tu wala sina maana mbaya uzi uachwe.
Swali je udini wake uko wapi?Hata ajaze wote wao wake au waislam wote sawa tu lakini tuone matokeo, siyo longolongo.
Hata aweke watoto wake wote na mume na wake wenza. Merits.
Kuna watu humu jukwaani wanasema ni mdini udini wake uko wapi?Samia hana dini kwani angekuwa na dini asingeruhusu watu wauliwe kama kumbikumbi.
Je udini wake uko wapi?HUYO NI SHETANI NA MUUAJI.
RAIS ALIYEKUNYWA DAMU ZA WATANZANIA.
Brilliant response, the damn topic gotta be closed.Siku ukitambua kuwa Samia ni kiumbe mbaya sana, basi tambua umekua.
Swali langu lipo kwenye udini najua anafanya mambo ya kutisha sana ila kusema ni udini ni uongo mkubwaBrilliant response, the damn topic gotta be closed.
Udini huo?Shida ya huyu rais ni kiburi na kutotaka kuwasikiliza wananchi.