Zawadini
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 3,048
- 2,267
Nimewaza sana kuhusu swala hili halafu nikawa najiuliza "hivi tusingekuwa na muungano leo hii tungekuwaje?" Swala hili limekuja baada ya kuona na kusikia mengi kuhusu huu muungano.
Mengine yanafurahisha na mengine yanakirihisha. Lakini mengine yanamfanya anayeyasikia au kuyasoma kupatwa na mshangao au wasiwasi wa nia ya kuwa na muungano. Hata hivyo mengine yanaweza kukuaminisha kwamba bila kuwepo muungano huu tusingekuwa hapa tulipo bali tungekuwa mahala pengine kabisa. Karibuni.