Hivi Tundu Lissu anajifanya anajua au anajua kweli?

Mbona wewe shuleni umesoma na bado ukafeli?
 

Pressure inapanda pressure inashuka....J&J...duuuu
 
Unaandika kwaiyo na amna halafu unajipa mamlaka ya kubeza uelewa wa mwingine. Unajua irony?
 
Unashangaa kitu gani wakati mtu mwenyewe muongo na hodari wa uzushi. Yeye speciality yake ni kupinga na inamlipa sana. Kuna mabeberu wanahitaji huduma ya watu kama lissu. Wanalipa vizuri.
Mtazomo finyu Sana nyie ndio elimu yenu inaishia kwenye matumbo, haisaidii jamii.

Wewee Lissu Ni akili kubwa, unajua kwamba alikuwa best student mwaka wao pale chuo kikuu Cha DSM?

Unajua kwamba sio siasa hizi .......???, angelikuwa Ni PROFESA washeria Sasa??

Unajulia kuwa alilisaidi Sana Bunge la katiba Hadi akatambukiwa na Mzee Sitta kwa mchango bora kabisa.

Unajua kuwa Mama Malinda alishawahi kusema Lissu ni Mbunge mahiri Sana kwa michango take?

Unajua kuwa huyu Lissu Ni Wakili nguli hapa nchini?

Hivi unajua kuwa alishawahi kuwaongoza WANASHERIA wote wa Tanganyika Kama.RAIS wao?

Unajua hayo?, Au niendelee?

Hembu tambue watu wenye AKILI kubwa acheni roho mbaya kwa kuendekeza Chama chenu!!!
 
Mgogoro wa Uganda na Tanzania ulianza toka meaka 72 ila Vita kamili ilianza mwaka 78
 
Nilikuwa mashambani huko ikanipita? hebu wekeni basi link na wengine tusikilize.
 
Yaani watoto wa sasa bhana, yote aliyoongea yeye Na yule binti chizi mjukuu wa Karume yameandikwa, uvivu wako wa kusoma ndo unakufanya ushangae anachoongea yule Mkimbizi alieko Belgium
Mbona unaonekana kama una maumivu? Onyesha nawe uwezo wako sio kuita wengine "binti chizi ".
 
Watanzania tumenyimwa Elimu ya maarifa na CCM kwa makusudi, ili tusiwe wasomi na waelewa wa mambo kama Lissu ..
Ndio maana wasomi kama Tundu Lissu na professor Asad wanapitia mateso na kudharirishwa na watawala ili wawe kama KABUDI au Lipumba na Zitto. Wamekataa.

Lissu ni mmsomi alielimika , Kikwete aliwahi sema.
 
Kusoma na kujifunza maarifa mbali mbali inakua crystal intelligence na inaongeza IQ ya mtu sababu ukiwa na uelewa wa mambo mengi kwa kusoma ina maana unatengeneza uwezo mkubwa wa kufikiri kutokana na maarifa uliyojaza.

Na ndio maana tunaambiwa majasusi wana akili sana sababu tu na wenyewe wanafundishwa vitu vingi sana kuanzia saikolojia, predictive analysis, and so on sasa akikisia kitu na kikatokea mtasema ni genius au mchawi!! Which is true sababu wamejifunza kutumia maarifa mbalimbali kabla ya kufikia maamuzi kwa masuala mtambuka.

So Lissu is a genius based on Crystal Intelligence.
 
He is very smart! "Tatizo" la Lisu anasoma sana na he is capable of deep thinking and making sense out of nonsenses! Ana kipaji kikubwa cha kuchanganua mambo in a real world!
Pale Univesity of Warwick aliposoma Masters, Prof wake alisema: "wamepita wanafunzi wengi mikononi mwangu sijawahi kumwona kijana kama huyu"!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…