Hivi tuna serikali kweli ?

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Nadhani wadanganyika mlisikia wachuuzi wa petroli juzi walipoipa serikali masaa 24 kufanya wanavyotaka wenyewe la sivyo wataona chamte makuni, ikitokea na wamachinga pia wakaipa serikali masaa 24,madadapoa nao wakatoa 24 zao,majambazi nao wakatoa 24 zao hapa kuna serikali kweli ? hivi tumefikia hatua ya serikali kutishiwa amani kweli ?
 
Nadhani mda si mrefu utasikia aliyeipa serikali masaa24 atimuliwa nchi...kaburuz wanajua serikali yetu corrupt huenda anajeuri ya pesa.
 
Nani amtimue? Anakula na wakubwa huyo nchi hii inaongozwa na wenye fedha

Serikali hipo lakini wa wala rushwa warafi na serikali isiyo kusanya kodi Mwl JK aliitabili

sawa na mtoto kumpa babaake masaa 24 asionekane kwake.
Nadhani tulipofikia ni aibu kwa Taifa hili kwa mtu au kampuni kuitisha serikali inayowaongoza watu milioni zaidi ya 40 very sad(msisitizo lol!)
 
subiri utaona makucha ya serikali muda si mrefu

Back
Top Bottom