Asante mkuuTaiga=taifa
No=ni
Sio kweli mkuu! Hilo Bango lipo hivyo toka limeandikwa!Hilo bango kuna mtu alikwangua usiku wa kuamkia jana akabadilisha maneno. Si kwamba lilikosewa bali ni watu wenye zile tabia za ajabu. Linesharekebishwa mchana wa leo.