Hivi TRA hawalijui hili bango?

kama hii ni kweli basi kuanzia boss wao wote wasweke ndani kwa kudhalilisha mamlaka halali ya serikali
 
Leo ni zamu ya TANROADS!.. Hii kitu haikubaliki popote pale,Rekebisheni haraka sana ama sivyo mtalipa 30,000Tsh inawahusu.
 

Attachments

  • C5CVnBKWAAEK1QE.jpg
    C5CVnBKWAAEK1QE.jpg
    80.6 KB · Views: 34
Hilo bango kuna mtu alikwangua usiku wa kuamkia jana akabadilisha maneno. Si kwamba lilikosewa bali ni watu wenye zile tabia za ajabu. Linesharekebishwa mchana wa leo.
Sio kweli mkuu! Hilo Bango lipo hivyo toka limeandikwa!
 
Back
Top Bottom