Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,110
- 3,269
Hata kama umeamua kutetea,, hapana umetisha kwa uwakili.
Hata kama umeamua kutetea,, hapana umetisha kwa uwakili.
TANZANIA REVENGE AUTHORITY aka MAMLAKA YA MALIPIZI TANZANIAHaya ni baadhi ya maajabu ya dunia yanayopatikana Tanzania tu,Hivi kuna sababu yoyote ya kutumia lugha ya kigeni wakati tuna lugha yetu?
View attachment 471540
Povu la nini?au wewe ndo muhusika?punguza omo.Soma pia Jina la avator yake halafu kaa kimyaa.
Muandishi = Mwandishimi najiuliza swali moja, wahusika walikubalije kumlipa muandishi wa hilo bango??!!
au walikabidhiwa hilo bango usiku?
sijaelewaelewa hapo.
Mkuu naona unapenda ligi za mchangani sana,Hivi hata nembo iliyoandikwa TRA huioni kwenye hiyo picha?,Hebu rekebisheni hiyo kasoro ama kwa kiswahili au kiingereza,Kukubali makosa na kujifunza ndio usomi wenyewe.Mbona wewe umewaita TRA? Kwa mini usiwaite Kwa kiswahii?
Nadhani hujagundua kosa lililopo kwenye hilo bango.vinginevyo wewe naye hunatofauti na mwandishi wa bango hilo.Mbona wewe umewaita TRA? Kwa mini usiwaite Kwa kiswahii?
I married to your point but you quoted me wrongly.... The poster was not written correctly l think it was a real mistake nothing else.Povu la nini?au wewe ndo muhusika?punguza omo.
Akiripoti kutoka usoke. Teh teh tehHilo bango kuna mtu alikwangua usiku wa kuamkia jana akabadilisha maneno. Si kwamba lilikosewa bali ni watu wenye zile tabia za ajabu. Linesharekebishwa mchana wa leo.
is inatakiwa iwe itI married to your point but you quoted me wrongly.... The poster was not written correctly l think is was a real mistake nothing else.
Umeandika nini sasaMkuu lugha rasmi za taiga no kiswahili na kiingereza.
Haya.wasalimie.I married to your point but you quoted me wrongly.... The poster was not written correctly l think it was a real mistake nothing else.
Taiga=taifaMkuu lugha rasmi za taiga no kiswahili na kiingereza.
Hauko serious hiyo ni typing error?Typing error tu ya kawaida
Ya viwanda vya revengeCjui tuko tz,gani hiiii