Internet modem: Ipi ni value for money kati ya Voda, Airtel, Zantel au tigo?

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,021
365
wanandugu nataka kununua modem kwa ajili ya kazi zangu za ofisi na zile binafsi. sasa naomba kufahamu kampuni gani ina best rate at reasonable cost kati ya Voda, Airtel, Zantel au tigo. naomba wenye taarifa yakinifu wanisaidie kwa kuzingatia haya:
  • Package ni GB ngapi (mahitaji yangu ni kama 2GB per month)
  • bandwith
  • monthly charge
  • coverage in terms of regions (remote areas)
  • bei ya kununulia hiyo modem
nitashukuru sana kupata maelezo; ahsante sana
 
Back
Top Bottom