Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Fuata mafundusho yake na hata ukikosea katika hali ya kibinadamu omba tobaNifanyeje ili kua mtoto Wa Mungu?
Fuata mafundusho yake na hata ukikosea katika hali ya kibinadamu omba tobaNifanyeje ili kua mtoto Wa Mungu?
Naomba hatua za kufuta nikitaka kuomba tobaFuata mafundusho yake na hata ukikosea katika hali ya kibinadamu omba toba
Duh!!!Kwa upande wangu " Ukiachana na UCHUMI BORA .. FAMILIAR BORA .. MAHUSIANO BORA NA MPENZI
/NDUGU /JAMAA NA MARAFIKI ... na chelea kusema kwamba .. maisha yange kuwa na maana kama pasinge kuwa na uwepo wa KIFO ... huwa naona kuwa KIFO kimeyatia doa Maisha ambayo mfano wake ni sawa na kitambaa cheupe ... kikisha kuwa na Doa thamani yake hutoweka ....
i' m sorry to say this .... bado sijaiona thamani ya maisha wakati kuna uwepo wa kifo
msalimu aliye kufichaDuh!!!
😂😂😂msalimu aliye kuficha
ExactlyDeliver every promise ....!
Bado sijaelewa umuhimu wa kuishi hapa duniani.
Wapo wanaofurahi, wapo wanaoteseka na wengine wapo wapo tu.
Atleast umejaribu kujibuIs to fulfil the original purpose of your existence
Bado sijaelewa umuhimu wa kuishi hapa duniani.
Wapo wanaofurahi, wapo wanaoteseka na wengine wapo wapo tu.
Maisha hayana maana zaidi ya kutimiza wajibu tuliopewa na Mungu wa kuzaliana , kulea watoto, kumuabudu Mungu. Kiukweli maisha yetu yana maana zaidi kwa muumba mwenyewe kuliko sisi viumbe ... yaani sisi ni project maalumu ya Mungu kwa ajili ya utukufu wake ...Bado sijaelewa umuhimu wa kuishi hapa duniani.
Wapo wanaofurahi, wapo wanaoteseka na wengine wapo wapo tu.
Ndiyo maana Bwana wetu Yesu alikufa pale msalabani, ili ayape maisha maana. Hapo ndipo mauti yake ilikuwa fidia ya kifo cha milele kinachotukabiri sisi wadhambi. Ndiposa,Kwa upande wangu " Ukiachana na UCHUMI BORA .. FAMILIAR BORA .. MAHUSIANO BORA NA MPENZI
/NDUGU /JAMAA NA MARAFIKI ... na chelea kusema kwamba .. maisha yange kuwa na maana kama pasinge kuwa na uwepo wa KIFO ... huwa naona kuwa KIFO kimeyatia doa Maisha ambayo mfano wake ni sawa na kitambaa cheupe ... kikisha kuwa na Doa thamani yake hutoweka ....
i' m sorry to say this .... bado sijaiona thamani ya maisha wakati kuna uwepo wa kifo
Soma katekisimu katolikiNaomba hatua za kufuta nikitaka kuomba toba
Nilikua najua nachouliza mkuuSoma katekisimu katoliki
Mimi pia naangukia hapo hapo, kifo. Sielewi huyu mgunduzi wetu ana nia gani ya kutuleta hapa, halafu mara puuu, inakuwa kama haukuwahi kuwa hapa!Kwa upande wangu " Ukiachana na UCHUMI BORA .. FAMILIAR BORA .. MAHUSIANO BORA NA MPENZI
/NDUGU /JAMAA NA MARAFIKI ... na chelea kusema kwamba .. maisha yange kuwa na maana kama pasinge kuwa na uwepo wa KIFO ... huwa naona kuwa KIFO kimeyatia doa Maisha ambayo mfano wake ni sawa na kitambaa cheupe ... kikisha kuwa na Doa thamani yake hutoweka ....
i' m sorry to say this .... bado sijaiona thamani ya maisha wakati kuna uwepo wa kifo
Dada, tunafuata mafundisho, tunasoma maandiko yake, mojawapo linasema, hamna jipya chini ya jua, yanayotokea sasa, yalishawahi kutokea kitambo na yatatokea miaka ijayo. Na zaidi yanasema, maisha ya mwanadamu ni ubatili, ni kama kupuliza upepo! Biblia-Mhubiri.Fuata mafundusho yake na hata ukikosea katika hali ya kibinadamu omba toba