Hivi thamani ya maisha ni nini?

Hivi thamani ya maisha ni nini?

Bado sijaelewa umuhimu wa kuishi hapa duniani.
Wapo wanaofurahi, wapo wanaoteseka na wengine wapo wapo tu.

Umuhimu au kusudio la uwepo/uumbwaji wa mwanaadam ni kwa ajili ya kumuabudu MOLA MLEZI, hiyo ndio prime purpose of creation.
Na yeye MOLA MLEZI akatuambia katika kitabu chake kitukufu (Qur'an 51:56)

وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنْسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ

Nami(Yeye Mola Mlezi) sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi.
Sasa isitokee tusajisahau juu lengo Mama la uumbwaji, tutambue. Dunia haikuwa ila ni starehe fupi mno yenye kupita.
Jiegemeze kwa Mola wako Mlezi
 
Mimi pia naangukia hapo hapo, kifo. Sielewi huyu mgunduzi wetu ana nia gani ya kutuleta hapa, halafu mara puuu, inakuwa kama haukuwahi kuwa hapa!
Lengo la kuwa hapa " nikwaajili ya kunufaisha maslahi yake tu " Mimi nawewe tupo kwaajili yakuendeleza uzalishaji ".. kwa lugha nyingine naweza kusema kuwa tuna tumika
 
Back
Top Bottom