Hivi TBC itaonesha AFCON..!?

UBC UGANDA watarusha.... Naona wana countdown days...
Achana na CCM
 
Hivi TBC ikionyesha mpira utaenjoy kweli? maana sijawahi kuelewa ile rangi ya channel huwa ni ubovu wa mitambo au ndio uwezo wa waendeshaji umefikia hapo.
 
Back
Top Bottom