Relativity
Member
- Aug 10, 2014
- 60
- 15
Hivi bongo kuna nano sim,na kama hamna nitafanyaje kama nina simu inayohitaji nano sim?
dah yani hio kauli ni kama unauliza hv tanzania kuna mtu anamiliki iphone latest?
zipo kaka tena kwa maelfu. ila zinakuwa ni za kukata na mashine za kukatia ni 10,000 tu

chief-mkwawa somo kidogo kuhusu hiyo nano tafadhali.
Ni nini hasa au ni hz micro sim?
Zinafanyejr kazi?
Utofauti wa majina ya kadi za SIM husababishwa na size tu ya kadi ya SIM...
Kwa kawaida kuna aina nne tofauti za vipimo vya kadi ya SIM...
1. SIM Card (kwa sasa hakuna simu inayomeza hii card yote, enzi zile za tritel ndio kulikuwa na simu zenye kumeza SIM card)
2. Mini SIM/Standard SIM
3. Micro SIM
4. Nano SIM
Kwa kuwa utofauti wa vipimo ndio pekee unaotambulisha utofauti wa majina, hivyo utendaji kazi wa kadi hizi hautofautiani hata kidogo.
![]()

Safi sana bidada, na mm nashkuru kwa kunitoa tongo tongo
We mbayaaaa.hongera upo kaml na reference juuuu
Mwanaume...
Hii ndio gharama ya kuwa mwanasayansi mkuu, unapotoa maelezo ya ufafanuzi ni lazima yaambatane na mifano hai ili maelekezo yawe bayana...