Hivi Tanzania kuna NANO SIM?

Hivi Tanzania kuna NANO SIM?

Mkuu sorry. Nilijikuta nishakumention kwa jinsia ya ke uyo jamaa ndo amenikumbusha km ww ni ke au me? Pole sana mkuu

Haina mbaya mkuu maana haibadilishi uhalisia wowote...peace!!!
 
Hivi bongo kuna nano sim,na kama hamna nitafanyaje kama nina simu inayohitaji nano sim?
Nimecheka sana kwa ulichouliza mbona mitaani magomeni kwa wauza vocha wanakata kwa shilingi 100 tu.
 
Back
Top Bottom