Hivi Tanzania kuna msanii yeyote anamzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki?

Nyie mnataka awe na maendeleo gani?

swali..

Vipi nyie mmemzidi maendeleo?

MNAICHUKULIAJE HII;

Mtu anayetoa msaada kwa kujitangaza kwenye media kuwa katoa mchango..
Au mtu ambaye hajitangazi kwenye media wakati akitoa mchango, Ni yupi bora hapo?

Mkinijibu hili swali hapa juu , Mtakuwa mmeshapata jibu la swali lenu
kiba anakaa wapi kwani??
 
Mkuu umeleta Uzi ukiwa hujafanya uchunguzi wowote Kuhusu kiba..... Kingine hata kama sivyo , Ali kiba kazi yake mziki au kuwish watu happy birthday mitandaoni.... Inaonekana unapenda sana maisha ya kujionyesha na kujitangaza kwa watu tukikuchunguza vizuri.... Jamaa ana life style tamu sana... Usi force MTU kuishi unavyotaka wewe
 
hiyo nimetolea mfano tu maana ningeanza kumuelezea kimoja baada ya kingine thread ingekua ndefu sana
 
Wadau nauliza tu hivi TZ kuna msanii yeyote anayemzidi Ally Kibakuli kwa ubinafsi na unafiki??

Kibakuli namuona mbinafsi na mnafki kwa kuwa sijawahi kuona hata mara moja akimu wish mtu yeyote siku ya kuzaliwa au kumpa pongezi yoyote msanii mwenzake ikiwemo kumpost kwenye mitandao ya kijamii kwa kumpa pongezi

Pia sijawahi kuona Kiba akisifia cha mwenzake kutoka moyoni kusifia kwake ukimuangalia usoni unaona kabisa hii pongezi haijatoka moyoni

Mimi navyoona Kiba alivyokuwa mdogo alikuwa akiimbiwa afiche vitu anavyonunuliwa ili atumie peke yake au hata chakula inawezekana alikuwa anakula chobingo akimaliza ndo anaenda kwa wenzake ,maana duuuuuh huyu jamaa ana roho mbaya alafu mbinafsi kichizi

We chukulia mfano insta ana followers millioni moja na ushee lakini yeye hamfollow mtu yeyote yule sasa kama huu sio ubinafsi ni nini??

View attachment 415252

Watu wa karibu wa Ally Kibakuli mshauri abadilike bhana la sivyo hata ikiwezekana iko cheo chake cha ubalozi wa wanyama anyang'anywe tu balozi gani ana roho mbaya namna hii kwa binadamu wenzake ataweza kupenda wanyama kweli??
CHUKI BINAFSI HAINA NAFASI KWENYE JAMII
 
hiyo nimetolea mfano tu maana ningeanza kumuelezea kimoja baada ya kingine thread ingekua ndefu sana
Au unataka tukuletee screenshot ya watu aliowawish hiyo birthday.

Haina haja ya mtu kuishi kwa kuigiza.... Yale ni maisha yake na angalia mziki wake.
Unataka nayeye ajichukuo video yupo gym au yupo na manzi ake ndipo muone yeye msanii bora
 
Mtoa mada kumfollow mtu n uamuz wa mtu na cyo lazima istoshe huwez kujua lbda account yke inamilikiwa na management yakrbn cyo yy
 
Kama hivi au mpaka amuwish happy barthday zari ndio ufurahi
198f251acea4345adf2387b38d571677.jpg
20f6864951c6bc5a2ade287f98ca20de.jpg
8a4ada40f67bdcfcbeb06a17d911c635.jpg
 
Wadau nauliza tu hivi TZ kuna msanii yeyote anayemzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki??

Kiba namuona mbinafsi na mnafki kwa kuwa sijawahi kuona hata mara moja akimu wish mtu yeyote siku ya kuzaliwa au kumpa pongezi yoyote msanii mwenzake ikiwemo kumpost kwenye mitandao ya kijamii kwa kumpa pongezi

Pia sijawahi kuona Kiba akisifia cha mwenzake kutoka moyoni kusifia kwake ukimuangalia usoni unaona kabisa hii pongezi haijatoka moyoni

Mimi navyoona Kiba alivyokuwa mdogo alikuwa akiimbiwa afiche vitu anavyonunuliwa ili atumie peke yake au hata chakula inawezekana alikuwa anakula chobingo akimaliza ndo anaenda kwa wenzake ,maana duuuuuh huyu jamaa ana roho mbaya alafu mbinafsi kichizi

We chukulia mfano insta ana followers millioni moja na ushee lakini yeye hamfollow mtu yeyote yule sasa kama huu sio ubinafsi ni nini??
View attachment 415252
Watu wa karibu wa Ally Kiba mshauri abadilike bhana la sivyo hata ikiwezekana iko cheo chake cha ubalozi wa wanyama anyang'anywe tu balozi gani ana roho mbaya namna hii kwa binadamu wenzake ataweza kupenda wanyama kweli??
avatar_banned_l.png
hahahaha not again!!!!!!!!!!! sweet heart kila siku unalimwa ban uwe mpole bass wacha utukutu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom