mgoshawampasa
Senior Member
- Jul 30, 2014
- 105
- 27
Mi naamini hakuna ubaya kumsifia Diomond kwa jitihada alizozifanya mpaka kufika alipo sasa na anazoendelea kuzifanya kuendelea kusonga mbele. Pia kwa m2 yeyote asiye na chuki binafsi na dogo hata bisha nikisema kijana anajua kuishi kama star maana m2 unaweza kuamua kuwa star au mtu wa kawaida na kamwe haiwezi kuwa vyote kwa pamoja. Pili czan kama kuna shida kumsifia Ally Kiba as long as humpondi mwingine koz Kiba ni mzuri wa kuimba na anatunga nyimbo nzuri. So kwangu mimi Diomond na Kiba wote ni wazuri lakini wanatofautiana pia and all are Tanzanian artist with a lot of funs. Mwisho we can all be funs of both of them coz we love them all.