Hivi Tanzania kuna msanii yeyote anamzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki?

1476274958565.jpg

Mazingira nayo yanachangia, mtu kazoea kuishi Kalahari huko unategemea asiwe mbinafsi kweli.
Hata ile movie aliyo igiza alileta roho mbaya kwenye chupa tupu ya coka.
 
Ali Kiba anaweza kuwa si mbinafsi, hana communication skills tuu, na pia anakosa menejiment bunifu at least ya kumfanya awe ana wasiliana na washabiki wake, hasa kuto mfollow mtu hata mmoja huko IG nadhani ni kosa la kiufundi menejment yake ina takiwa iliangalie
*lakini kama hai mcost kimuziki bas tumuache aish maisha yake
Ndo anafurahia ikiwa hivo
Kiba akipost tembo cc tunapost SHOW
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom