Hivi Tanzania Kuna Magari Mangapi?

Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,184
259
Pamoja na kuwa secta ya ICT na mawasiliano kwa ujumla wake Kuwa inakua kwa kasi ya aina yake bado taarifa nyingi ambazo kimsingi zilipaswa kuwa open kwa pupblic bado ziko undercover!

Nimekuwa kwa mfano nikojiuliza hivi Tanzania mpaka sasa kuna motor vehicles ngapi mpaka sasa!? just being curiuos (usiniulize zita nisaidia nini) ni kiu tuu ya taarifa na kupata uelewa!

NHow do we differentiate hizi no za magari na pikipiki...? labda gari anaweza kuchukua na ya pikipiki akafanya uhalifu akasepa..?

cc: CLACET
 
Unachowaza ni sawa! kulipaswa kuwe na database ya magari, silaha na hata nyumba ikiwezekana ili ukitaka kupata taarifa ya nani anamiliki nini una google tu.
 
Kwa magari kujua idadi yake ni ngumu kdg.hv unajua magari ni mengi sana kuliko wamiliki?unakuta mtu mmoja ana magari 5. na hiyo ndo chanzo cha foleni kwa kuwa unakuta watu wanakaa nyumba moja lkn cha kushangaza mpk mtoto anataka atoke na lake.kwanza ukisema uyahesabu kwa pale kkoo tu huyamalizi
 
Hii ni kazi ya tume ya taifa ya takwimu ila naona wana upungufu wa wafanyakazi pale ofisini kwao

Hawajajua umuhimu wa ofisi yao bado. Au yawezekana wakawa hawana fedha.
Wakati tunaipa kipaumbele katiba na sherehe za Muungano hizi ofisi nyeti za serikali zimaeachwa yatima.
Na bado
 
Pamoja na kuwa secta ya ICT na mawasiliano kwa ujumla wake Kuwa inakua kwa kasi ya aina yake bado taarifa nyingi ambazo kimsingi zilipaswa kuwa open kwa pupblic bado ziko undercover!

Nimekuwa kwa mfano nikojiuliza hivi Tanzania mpaka sasa kuna motor vehicles ngapi mpaka sasa!? just being curiuos (usiniulize zita nisaidia nini) ni kiu tuu ya taarifa na kupata uelewa!

NHow do we differentiate hizi no za magari na pikipiki...? labda gari anaweza kuchukua na ya pikipiki akafanya uhalifu akasepa..?

cc: CLACET
taarifa za idadi ya vyombo vya moto mbona inajulikana sema wananchi wakipewa wanatumia hizi taarifa vibaya,mfano mimi hapa ninazo taarifa mpaka za tarehe 17 april 2014 ila ni kwa matumizi ya ofisi tu
 
Mkuu it just a number kwamba 2012 tulikuwa na magari .... piki....dfp..... su... nk mwaka 2013, 2014 nk. Unafikiri takwimu hii inaweza kutumiwa vibaya, I dont think so.

Ulimwangu wa taarifa unakuwa sana sasa kujifungia na taarifa hazitasaidia maendeleo ya chi hii...

Hv unajua kuwa watu wanweza kuzitumia tawimu hizi kufanya predictions ya emision level, road planning na hata kuchagua sehemu nzuri ya kuishi kwa kuangalia wingi na efficient ya miundombinu vs transportation numbers. THing BIG!
 
Rahisi:

Kuanzia T 101 AAA mpaka T 999 AAA kuna magari 899.
Kuanzia AAA mpaka AAZ kuna 24 (hapa kumbuka herufi I na O hazipo), hivyo kuna magari 21,576 (899 * 24)
Kuanzia AA mpaka AZ kuna 24 hivyo kuna magari 517,824 (21,576 * 24) hivyo kwa herufi A peke yake kuna magari 517,824, vivyo vivyo na herufi B (Yaani kuanzia T 101 BAA mpaka T 999 BZZ) kuna magari 517,824.

Na bila shaka herufi C nayo yatakuwa 517,824 (kuanzia T 101 CAA mpaka T 999 CZZ) {Ingawa T 999 CZZ haijafika ila kwa kasi iliyopo itafikia hivi karibuni.

Kwa hiyo basi mpaka sasa tuna magari 517,824 * 3 = 1,553,472.

Upo hapo????

Hapo sijahesabia ST's (ST mpaka STL sasa hivi), DFP mpaka DFPA, SM, MT, ST [number] A, JWTZ (JW), Gari za mabalozi, etc etc

Pamoja na kuwa secta ya ICT na mawasiliano kwa ujumla wake Kuwa inakua kwa kasi ya aina yake bado taarifa nyingi ambazo kimsingi zilipaswa kuwa open kwa pupblic bado ziko undercover!

Nimekuwa kwa mfano nikojiuliza hivi Tanzania mpaka sasa kuna motor vehicles ngapi mpaka sasa!? just being curiuos (usiniulize zita nisaidia nini) ni kiu tuu ya taarifa na kupata uelewa!

NHow do we differentiate hizi no za magari na pikipiki...? labda gari anaweza kuchukua na ya pikipiki akafanya uhalifu akasepa..?

cc: CLACET
 
Pamoja na kuwa secta ya ICT na mawasiliano kwa ujumla wake Kuwa inakua kwa kasi ya aina yake bado taarifa nyingi ambazo kimsingi zilipaswa kuwa open kwa pupblic bado ziko undercover!

Nimekuwa kwa mfano nikojiuliza hivi Tanzania mpaka sasa kuna motor vehicles ngapi mpaka sasa!? just being curiuos (usiniulize zita nisaidia nini) ni kiu tuu ya taarifa na kupata uelewa!

NHow do we differentiate hizi no za magari na pikipiki...? labda gari anaweza kuchukua na ya pikipiki akafanya uhalifu akasepa..?

cc: CLACET

andika ukiwa umetulia.
 
Back
Top Bottom