Wewe unawaza michezo tu ila umesahau kuwa kuna usalama wa nchi ila sikulaumu maana jana nilikuona jamaica camp ukipata sakrament ya marasta
Naangalia mahojiano kati ya kijana mmoja yuko LONDON na SHAFII DAUDA katika kipindi cha SPORTS BAR YA CLOUDS TV kupitia skype.
Huyu kijana ni mtanzania alikuwa anacheza mpira na ameshiriki COPA COCA COLA. baadae akaamua kutafuta timu nje ya nchi. akafanikiwa kupata trio UK. Sasa akaenda wizara ya mambo ya ndani apate passport ili asafiri,immigration wakakataa na kumwambia sio mtanzani.
Akaenda TFF na kuwaomba wamsaidie kupata passport na akawaambia kuwa waangalie kumbukumbu zao alizxoshiriki COPA COCA COLA wakamwambia hawawezi,basi huyu kijana kwa sababu alisoma uganda akarudi kule na kuwaambia ukweli kuwa ni mtanzania ila wamemnyima fursa. WAGANDA WAKAMPA PASSPORT NA SASA HIVI ANACHEZEA WEST HAM YOUTH TEAM KAMA MGANDA NA AMEAPA HATA CHEZEA TANZANIA TENA,na mimi simlaumu.
ndio tz imelaaniwa hakuna watu wa .p.u.m.b.a.v.u kama wafanyakazi wa uhamiaji wanavyokwamisha watu bila sababu maalumu
Wewe unawaza michezo tu ila umesahau kuwa kuna usalama wa nchi ila sikulaumu maana jana nilikuona jamaica camp ukipata sakrament ya marasta
Hebu niambie wakati anasoma huko Uganda na wakati anashiriki hayo mashindano ya COPA COCA COLA alikuwa anasafiri kwa kutumia passport ya nchi gani. Kuna kitu hapo kimejificha hapo na sidhani kama uhamiaji wamekataa kumpa passport bila sababu. Huko alikoipata ndiko kwao.
Tiba
kwahio alichezea tanzania kama mganda?? kama ni hivyo kwa nini tusingeweza kuendelea kumtumia.
hebu acha kujifanya mjuaji. kwanza kichwa cha habari ni swali.
Swali hapo ni je alikuwa anasafiri? Na kama ndivyo alikuwa anatumia passport ya nchi gani? Hebu tupate jibu hapo kwanza halafu mengine yatafuata.
Tiba
kwa hiyo na mimi nikikuuliza mama yako amelaaniwa? au wewe ni m@#s$%nge? utajisikiaje uwe na heshima unapoandika, Tanzania ni nchi ina watu zaidi ya milioni arobaini kusema imelaaniwa ni ukosefu wa akili
wewe ndio unaonyesha hapa huna akili. just move on to other threads. mbona wengine wanachangia wewe tu ndio unajidai unakerwa sana na mimi kuuliza hii nchi imelaaniwa. just move on to other thread,hii haikufai tuachie wakosefu wa akili.
usimtaje mama angu kwa sababu humjui. na sijakutaja wewe personally kwahio usinitaje mimi. tanzania ni nchi yangu vilevile. USINITAFUTIE BAN ASUBUHI HII,MIND YOUR BUSINESS.
copa coca cola wanazunguka hapa hapa bongo mikoani,kwenda uganda kuna zile travel doc za muda, i guess sio lazima passport kamili
Sasa kushiriki kwake COPA COCA COLA akiwa Tanzania hiyo ndio uthibitisho kwamba yeye ni Mtanzania? Inawezeakana ni Mganda aliyeshiriki hayo mashindano akiwa Tanzania. Sidhani kama Uhamiaji pamoja na mapungufu yao wanaweza kumkatalia kumpa mtu passport endapo anatimiza vigezo vyote vinavyotakiwa. Tusikimbilie kuwalaumu uhamiaji bila kuwasikiliza ni kwa nini walimakatalia. I believe watakuwa na sababu za msingi.