Hivi Tanzania haina CRITICAL THINKERS?

Hivi Tanzania haina CRITICAL THINKERS?

CRITICAL MIND

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
416
Reaction score
403
306681_10151063016359743_1581996414_n.jpg


Nashangaa sana kuona mijadala ya Economic integration , Rwanda, Infrastructure na development projects imejaa ushabiki wa kisiasa bila kuangalia mambo kwa upembenuzi yakinifu.

Na kinachosikitisha ni jinsi gani Print media na bila kusahau GREAT THINKERS forum kama hii kujaa watu ambao ni washabiki kuliko watu ambao wanauliza maswali au kuwa critical.

Inawezekana vipi mchambuzi anayeaminiwa JF na ambaye haishi kuandika articles kwenye print media (MANYERERE JACKTON) ashindwe kutofautisha kati ya Newspaper na Magazine?

Mbaya zaidi ameshindwa kuweka counter arguments kwa hilo gazeti la THE EAST AFRICAN.

Kuna issues za UNGA ambazo zina dominate airwaves lakini hakuna INVESTIGATIVE JOURNALISM iliyofanyika zaidi ya kutaja majina ya watu bila ushahidi wowote ku back up hizo tuhuma (ikienda mahakamani hawa watu wataomba mistrial kwani tayari media ishawahukumu)

CRITICAL THINKERS wetu hawaulizi tuna reserve ngapi ya foreign exchange, deni la taifa ni kiasi gani na tuna reserve ngapi ya gold na ziko wapi na nchi zipi.

CRITICAL THINKERS wetu wako bize na siasa za maji taka kuangalia nani alikuwa na washabiki wengi kwenye mikutano ya hadhara ya siasa huko Pemba na kwingineko

CRITICAL THINKERS wetu hawaulizi tume zilizoundwa toka mwaka huu uanze ni ngapi na ripoti zao ziko wapi na nini zimefanya (jengo la NHC, mabomu ya arusha , gongo la mboto etc)

CRITICAL THINKERS wetu wako bize kutoa tuhuma kuwa Kagame kamtukana JK bila kuleta ushahidi wowote ambao ni credible...matokeo yake imekuwa kama kesi ya abunuwasi....

CRITICAL THINERS wetu hawaulizi kama its really worth kupoteza maisha ya Mtanzania kule Congo ambako jeshi letu lilipelekwa bila ridhaa ya bunge

CRITICAL THINKERS wetu wamelala tuuu na wako humu wanajadiliana kuhusu non issues wakati mikakati ishamalizwa ya kuiuza TANESCO kwa SYMBION POWER

CRITICAL THINKERS wetu hawataki kujadili mambo critically bali wako emotional ku defend the mediocrity at all levels za jamii yetu.

CRITICAL THINKERS wetu hawataki kujiuliza how hard is it ku fix traffic lights za barabara za mji kama Dar na traffic officers wakawa na kazi ya kufanya enforcement.

CRITICAL THINKERS wetu wameshindwa kujua kama CCM na CHADEMA/CUF etc ni same thing, akili zao ni sawa na wote hawana interest na Tanzania.

CRITICAL THINKERS wetu hawawezi kutofautosha NATIONAL INTEREST na PERSONAL PARTY POLITICAL INTERESTS

610x.jpg
 
By critical thinkers you meant waandishi wa habari???!!!

Kama critical thinkin ndio hii ya kuanza na premise tofauti na conclusion na katikati ushaweka personal attack badala ya argument chronology then na wewe ni good in probing but yet a critical thinker!!!!
 
Hoja yako ya msingi sana.

Nadhani labda tatizo ni lile lile la kizazi cha Zombi, misguided priorities: kukariri verses za bongofleva badala ya periodic table. Hapa JF, watu wenye malengo maalum ya kisiasa (wengine ni ajira kamili) wamekuja hapa ku-divert attention yetu: wamegeuza Tanzania is all about CCM vs Chadema.

Nawalaumu great thinkers wanaotumia muda mwingi kulumbana na akina Hamy-D, Ritz na wababaishaji wengine ambao kimsingi WAPO KAZINI (kila unapotumia pumzi yako kubishana nao unanenepesha ukubwa wa posho zao).

So are we so stupid kuneemesha waajiriwa wa wanasiasa ilhali tuna masuala kadhaa ya msingi kuliko hoja wanazoleta wapuuzi hao?
 
Rushwa ikishaingia sehem na kukumbatiwa inafunika na kuvuruga maamuzi ya hao critical thinkers........
 
reformation inahitajika, halaf humu tz kila mtu anaejua ku gugo kitu anajiona naye yuko dip
wako kongo kikazi mara moja kuna mabwege fulani hivi wanapata tiba, pia kuna mgonjwa wa pneumonia wameenda mtibia soon atasogea border, una bahati sana tindi kali haliwezi pita humu as software la sivyo ungekoga mwili mzima, huna point au kuamisha mada ya viachapo huko drc?
 
Naomba nisisema nini tufanye, maana tumejaribiwa vya kutosha, Uongozi umetusaliti kwa matendo ninamkumbuka SLAA
 
OOPS watoke wapi wakati bongo event moja ikikukuta km zari basi unapewa kitengo..
 
We mwenyewe siyo CT, bali CM

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 



https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/514972-should-tanzania-pull-out-of-the-eac-2.html#post7219517





Join Date : 1st September 2013
Posts : 8
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0


icon1.png




WATANZANIA, HAWA NI WATU WA NCHI ZA JIRANI, WANATAFUTA NAMNA YA KUTUFARAKANISHA ILI TUSAHAU MAMBO MUHIMU YANAYOTUHUSU KAMA TAIFA

SOMA POST 8 ZA LEO ZA HUYU BWANA NI KUCHONGANISHA TU.

KAMA TUNA MATATIZO NI YETU HATUHITAJI MTU KUTOKA RWANDA, KENYA, UGANDA KUTUSAIDIA KUJADILI.

WATANZANIA FUNGUENI MACHO!!
 
Critical thinking ya nini wakati sisi tushasema zudumu fikra za menyekiti?


Mambo ya critical thinking waaachieni wazungu na nchi zilizoendelea sisi. Mambo hayo maybe after 200years

Good topic wrong platform with wrong audience


Acha tupige soga sie hapa
 



https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/514972-should-tanzania-pull-out-of-the-eac-2.html#post7219517





Join Date : 1st September 2013
Posts : 8
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0


icon1.png




WATANZANIA HAWA NI WATU WA NCHI ZA JIRANI, WANATAFUTA NAMNA YA KUTUFARAKANISHA ILI TUSAHAU MMAMBO MUHIMU YANAYOTUHUSU KAMA TAIFA

SOMA POST 8 ZA LEO ZA HUYU BWANA NI KUCHONGANISHA TU.

KAMA TUNA MATATIZO NI YETU HATUHITAJI MTU KUTOKA RWANDA, KENYA, UGANDA KUTUSAIDIA KUJADILI.

WATANZANIA FUNGENI MACHO!!

NOTED Sir, thanks.
 
Wewe CRITICAL MIND kama CRITICAL THINKER umefanya nini badala ya kulalama? Umekuja na hata proposal moja ya kutatua matatizo haya?
 
Last edited by a moderator:
Kama ungekuwa mtu unaefikiri vizuri ulitakiwa uje na majibu, mapendekezo, ushahidi wa hayo uliyoyasema hapo juu, mambo ya kujitoa na kunyoosha vidole kwa watanganyika wengine bado unaonekana mjinga tu kama wajinga wengine.

Hoja yako umeileta kama vile sisi ni watanzania sana kuliko wewe wakati hii ni nchi yetu sote, kila mtu awajibike tuokoe taifa. Kama ni kuorodhesha mapungufu na matatizo mburula yeyote pamoja na kuwa na IQ ndogo anaweza kuorodhesha matatizo yetu vizuri tu.
 
Kagame agents...wakina Mukamasimba and the team.

Mnabadilisha ID tuu...
 
Critical thinkers wapo na critical threads zipo kibao tuu ila kwa vile na mleta mada ni unidirectional, na myopic, vision yake inaona upande mmoja tuu kama hizo picha kwenye bandiko lake.

Kama ni kweli uko genuine huwajui, tunaweza kukusaidia na kukuelekeza kwenye thread na threads za critical issues!.
Pasco.
 
Back
Top Bottom