Mchukuu wa Mangi
Member
- Sep 21, 2013
- 27
- 23
By critical thinkers you meant waandishi wa habari???!!!
Kama critical thinkin ndio hii ya kuanza na premise tofauti na conclusion na katikati ushaweka personal attack badala ya argument chronology then na wewe ni good in probing but yet a critical thinker!!!!
Mkuu suala la critical thinking ni issue kwa watanzania walio wengi.Unavyoongelea Premises and conclusion bado hawaelewi, nafikiria hata mtoa mada hajaelewa. Mtu ana criticise bila kuwa na strong arguments.Na pia strong argument si wote wanaoilewa. Ni challenge kubwa kwetu kwa sasa, ni vizuri tujifunze jinsi ya kuwa good critical thinker