Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Tunaomba usimtukane tajiri yetu, nyinyi ndo mnatufanya anatuepukaAnatunga uongo mwingine awaleteeni
Ova
Tumeshawaomba m16,cia na mossad wamtafute lakini haonekani??Ngoja tuendelee kumsearch through Google
Yupo Kuna jambo limemkeep busy...kuwa na subraTumeshawaomba m16,cia na mossad wamtafute lakini haonekani??
Bill Lugano ni TAJIRI MKUU WA MATAJIRI hapa JamiiForums. Nilimwambia nasoma hadithi ya UMUGHAKA ya utajiri wa kaka Ally (Ally Mpemba) akasikitika sana, akaniambia utajiri wa kishetani una mateso makali sana.Salaam wakuu,kwanza nianze kusema kuwa Mimi ni shabiki mkubwa wa tajiri Bill Lugano.
Tajiri huyu amekuwa akinipa hamasa kubwa kupitia hoja na machapisho yake Kuhusiana na utajiri wake yeye na familia yao.
Ni mtu ambaye anatuhamasisha vijana tutafute pesa kwa bidii,Hana nongwa na mtu yoyote nadhani hata Kaka Bujibuji Simba Nyamaume, anafahamu hili.
👉Ni msomi aliyepata nafasi ya kupata elimu yake kutoka katika vyuo 2 bora kabisa duniani ambayo ni Oxford na Harvard.
Tena hana dharau kwa jamii yake inayomzunguka, sio kama Lord lofa mpwayungu village. Ambaye huwa anatukana walimu wake waliomkuza.
Nasikitika nasikitika kusema kuwa nimeshangazwa na ukimya wa tajiri yetu Bill Lugano, ambaye hana utaratibu wa kukaa kimya bila kuongea na sisi wadau wake.
Uko wapi tajiri ??, tunakuomba sema kitu boss, baadhi ya vitu vilivyonipa wasiwasi ni 👉hajibu email tunazomtumia
👉 Secretary wake hajulikani alipo
👉Inasemekana amebadilisha uraia ??, Ili asisumbuliwe na tra.
👉 Inasemekana amechoshwa na chuki na hoja potofu za baadhi ya watanzania dhidi ya matajiri.
Nakumbuka mara ya mwisho alitutaarifu kuwa ataenda mapumzikoni katika kisiwa Cha malbera, lakini toka mwaka jana hatujasikia lolote Tena kutoka kwake.
hata jasusi GENTAMYCINE, amethibitisha kuwa tajiri Bill Lugano, ni Kama mzuka kwa sasa. Kwani hakuna mwenye taarifa zake.
Tunakuomba tajiri Bill Lugano, urudi boss wetu, kwa maana jamii yetu ya majobless wa kimataifa inahitaji uwepo wa matajiri Kama wewe.
Za ndani Inasemekana 👉Mashirika ya ujasusi duniani Kama M16,mossad, na CIA wameahidi kusaidia kumpata.
We are humble waiting for you bilionea Bill Lugano 🙏🙏🙏
Huyo lugano anajishughulisha na nn mpaka akupe 10M za vitabu au unanichezea akili hapaKIDUME20 , umekasirika nini? Hutaki nikalime maparachichi na To yeye, au umekasirika mimi kupewa 10 mln nikanunue vitabu?
Uzuri wa Bill Lugano hapendi chawa, yeye ni msafi sana hana sehemu kwake ambapo chawa wanaweza kuishi, ningemuomba Jemima Mrembo akuombee kazi
Ana visima vya mafuta huko Venezuela 🇻🇪, ana mashamba ya vanilla, ana mashamba ya cocoa, anauza world wide. Ana migodi ya pink diamond, yaani usimchukilie poaHuyo lugano anajishughulisha na nn mpaka akupe 10M za vitabu au unanichezea akili hapa
Yangu macho mbona tz hajulikani sasa au ni lowkey tuAna visima vya mafuta huko Venezuela 🇻🇪, ana mashamba ya vanilla, ana mashamba ya cocoa, anauza world wide. Ana migodi ya pink diamond, yaani usimchukilie poa
He is keeping Low profileYangu macho mbona tz hajulikani sasa au ni lowkey tu
Hakuna tajiri hapo fix TotallyAna visima vya mafuta huko Venezuela [emoji1263], ana mashamba ya vanilla, ana mashamba ya cocoa, anauza world wide. Ana migodi ya pink diamond, yaani usimchukilie poa
Sasa,weye uitweje?Lichawa au luba kwa tajiri?Tunaomba usimtukane tajiri yetu, nyinyi ndo mnatufanya anatuepuka
Nipo brother. Sema mwanzo wa mwaka ratiba zangu zilikuwa tight. Nilisafiri na wafanyakazi wangu wote tukapumzike visiwa vya Bahama kwa utulivu mkubwa bila kuwasiliana na watu wengine dunia hii. Tumerudi salamaSalaam wakuu,kwanza nianze kusema kuwa Mimi ni shabiki mkubwa wa tajiri Bill Lugano.
Tajiri huyu amekuwa akinipa hamasa kubwa kupitia hoja na machapisho yake Kuhusiana na utajiri wake yeye na familia yao.
Ni mtu ambaye anatuhamasisha vijana tutafute pesa kwa bidii,Hana nongwa na mtu yoyote nadhani hata Kaka Bujibuji Simba Nyamaume, anafahamu hili.
👉Ni msomi aliyepata nafasi ya kupata elimu yake kutoka katika vyuo 2 bora kabisa duniani ambayo ni Oxford na Harvard.
Tena hana dharau kwa jamii yake inayomzunguka, sio kama Lord lofa mpwayungu village. Ambaye huwa anatukana walimu wake waliomkuza.
Nasikitika nasikitika kusema kuwa nimeshangazwa na ukimya wa tajiri yetu Bill Lugano, ambaye hana utaratibu wa kukaa kimya bila kuongea na sisi wadau wake.
Uko wapi tajiri ??, tunakuomba sema kitu boss, baadhi ya vitu vilivyonipa wasiwasi ni 👉hajibu email tunazomtumia
👉 Secretary wake hajulikani alipo
👉Inasemekana amebadilisha uraia ??, Ili asisumbuliwe na tra.
👉 Inasemekana amechoshwa na chuki na hoja potofu za baadhi ya watanzania dhidi ya matajiri.
Nakumbuka mara ya mwisho alitutaarifu kuwa ataenda mapumzikoni katika kisiwa Cha malbera, lakini toka mwaka jana hatujasikia lolote Tena kutoka kwake.
hata jasusi GENTAMYCINE, amethibitisha kuwa tajiri Bill Lugano, ni Kama mzuka kwa sasa. Kwani hakuna mwenye taarifa zake.
Tunakuomba tajiri Bill Lugano, urudi boss wetu, kwa maana jamii yetu ya majobless wa kimataifa inahitaji uwepo wa matajiri Kama wewe.
Za ndani Inasemekana 👉Mashirika ya ujasusi duniani Kama M16,mossad, na CIA wameahidi kusaidia kumpata.
We are humble waiting for you bilionea Bill Lugano 🙏🙏🙏
Anaitwa Intelligent businessmanNipo Brother. Sema mwanzo wa mwaka ratiba zangu zilikuwa tight. Nlisafiri na wafanyakazi wangu wote tukapumzike visiwa vya Bahama kwa utulivu mkubwa bila kuwasiliana na watu wengine dunia hii. Tumerudi salama
Kwa sasa hafanyi kazi Wala biashara alishamaliza yote.Huyo lugano anajishughulisha na nn mpaka akupe 10M za vitabu au unanichezea akili hapa
Mkuu humjui tajiri lugano!!? Yeye ndo mmiliki wa kila Lori unaloliona barabarani nyuma limeandikwa THuyo lugano anajishughulisha na nn mpaka akupe 10M za vitabu au unanichezea akili hapa