GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,830
- 18,487
Kinywaji pekee kisicho na kilevi wananunua hawa ni energy drink.Ukiagiza pepsi baridi watu wanakutizama mara mbili mbili kwenye kibanda.....
Pembeni kuna ndoo imetumbukizwa barafu za kutosha ni wewe tu kusuuza na kunywa maana ni kikombe chenyewe ni kimoja Tu....View attachment 3692759
koromeo lile ndo mzukaMama Saidi ameshazipokea salami....sema tu anauliza akuwekee Pupu, bandama au koromeo...!?
View attachment 3692762
Uwanja wa fisi Manzese unapimiwa ya jero🤣hiyo supu itakua haizidi hata buku jero
sawa sawaUwanja wa fisi Manzese unapimiwa ya jero🤣
Ongezea na masikioMapupu ni mapafu yale na mabandama.
Miongoni mwa supu za bei rahisi ni hiyo ya mapupu.
Sehemu zote za uswahilini au sehemu za Walevi supu ya mapupu hazikosi.
Bei yake elekezi karibia maeneo yote ni shilingi mia Tano tu 500
Umepigwa Aliniambia ni 3500
Na kapilipili mmaaa (Abety Masikini)Mpelekee yule jamaa pale mapupu mawili na chapati mbili...mchuzi weka mwingi na ndimu kwa wingi.....
View attachment 3692755
Sijawah kujichanganya nazikuta sana pale msimbaz jion.zimejaa masufuria zinafuka moshi. Ndimu pilipill .siwez kuzila hata kwa dawaMapupu ni mapafu yale na mabandama.
Miongoni mwa supu za bei rahisi ni hiyo ya mapupu.
Sehemu zote za uswahilini au sehemu za Walevi supu ya mapupu hazikosi.
Bei yake elekezi karibia maeneo yote ni shilingi mia Tano tu 500
Kwa sababu ina mawashiwashi na matakataka mengineKwanini waiite ya mapupu?
Linda mgongo wakoNi 3500 mkuu ila nimeondoka maana niliogopa supu ya shahawa
Inakolea kwa tumboNa kapilipili mmaaa (Abety Masikini)
Dah umemdefine jamaa indirectMapupu ni mapafu yale na mabandama.
Miongoni mwa supu za bei rahisi ni hiyo ya mapupu.
Sehemu zote za uswahilini au sehemu za Walevi supu ya mapupu hazikosi.
Bei yake elekezi karibia maeneo yote ni shilingi mia Tano tu 500
"Kila dili tunazozifanya zinaonekana hazina maana,ukiuza maji baridi typhod ,ganja haramu ,mihogo ya kukaanga na lupilipili mmaaa na luchumvi mmaa kokolea kusingo kipindupindu" -TBT Crew.Na kapilipili mmaaa (Abety Masikini)
Ujaribu siku Moja mkuu uone 😁Sijawah kujichanganya nazikuta sana pale msimbaz jion.zimejaa masufuria zinafuka moshi. Ndimu pilipill .siwez kuzila hata kwa dawa
HahahaaSupu pendwa kwasisi wanyonge