Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,657
- 10,025
Nunua upate nguvu za makende...😃😃😃Nimefika sehemu nikaambiwa leo wanapika supu ya mapupu tu, nikasita kununua, huvi mapupu ndio kapumbu (makende)?
Kwanini waiite ya mapupu?hiyo supu itakua haizidi hata buku jero
Ni 3500 mkuu ila nimeondoka maana niliogopa supu ya shahawahiyo supu itakua haizidi hata buku jero
supu ya buku hiyo, na ndizi moja = buku jero akishushia na maji, uhakikaNunua upate nguvu za makende...😃😃😃
Natania hata mimi sijui bana
Aliniambia ni 3500Mapupu ni mapafu yale na mabandama.
Miongoni mwa supu za bei rahisi ni hiyo ya mapupu.
Sehemu zote za uswahilini au sehemu za Walevi supu ya mapupu hazikosi.
Bei yake elekezi karibia maeneo yote ni 500 tu.
Shemu
Swadakta kabisa...supu ya buku hiyo, na ndizi moja = buku jero akishushia na maji, uhakika
ni yale mavitu vitu ya ndani, ujue supu ina aina 4,Kwanini waiite ya mapupu?
siku ukifika ulizia kuna mapupu,bichwaSwadakta kabisa...
Huwa napiga sana supu za buku ila sijawahi sikia hiyo ya mapupu...
Au itakuwa ni wapi?
Shukrani msabato, bora nilikataa.Supu ya mapupu huwa ni ya viungo vya ndani vya mnyama kama maini, figo, mapafu, moyo nk
Bei kubwa hivyo, kwanini iitwe mapupu sasa Aliniambia ni 3500
mmmh 3500 wapi huko,supu ya mapupu bei hiyo?Ni 3500 mkuu ila nimeondoka maana niliogopa supu ya shahawa
Hii itakuwa mkoa kwa mkoa...siku ukifika ulizia kuna mapupu,bichwa
Labda uko ushuani huko mkuu, maana huko Oyster bay hata vitu vya ajabu mnauziwa bei juu. Aliniambia ni 3500
Maeneo ya Mwengemmmh 3500 wapi huko,supu ya mapupu bei hiyo?
Ni maeneo ya Mwenge mkuuLabda uko ushuani huko mkuu, maana huko Oyster bay hata vitu vya ajabu mnauziwa bei juu.
Maeneo mengi hiyo supu bei yake ni 500 tu.
Sana Sana ukikuta imepanda bei basi wanauza 700.