hivi spika analindwai kama Raisi?

hivi spika analindwai kama Raisi?

engmtolera

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
5,149
Reaction score
1,441
wanaJF nauliza nipate kujuwa kama spika wa bunge la sasa bi Anne makinda kama amepewa ulinzi,kwani ktk picha hii hapa chini namwona mwana mama amejiimalisha vyema ktk style y aulinzi vile
9336707.jpg
 
ulitaka ulindwe wewe??? nyie watu wengine sijui hamna kazi za kufanya. sasa ajabu nini?
 
Unataka asiwe na ulinzi, au una lako jambo? Kumbuka kwa mujibu wa katiba Spika ni wa 3 katika kukaimu uraisi iwapo Raisi hatakuwepo au makamu wake.
 
Hii siyo dalili nzuri; ukiona "executive branch" wanamwendekeza hivyo ujue tayari yuko mfukoni kwao. Nasikia hata msafara wake umeongezewa magari.
 
Alindwe asilindwe kawaida tu.........................................
 
Neno moja la kujadili hapo "Kama Rais" umeona wapi akilindwa kama Rais? lete ushahidi tuujadili
 
Unataka asiwe na ulinzi, au una lako jambo? Kumbuka kwa mujibu wa katiba Spika ni wa 3 katika kukaimu uraisi iwapo Raisi hatakuwepo au makamu wake.
Asante kwa kutufungua macho kumbe Pm ni kidampa mbele ya speaker!
 
Back
Top Bottom