Hivi sisi wanaume wa siku hizi tuna akili kweli? Mbona hawa wanawake watatuua!

Nimeishia hapa hakuna kitu km hicho wewe umelewa na habari za kwenye mitandao lkn uhalisia mtaani hauko hivyo
 
Mkuu uneandika mengi ya maaana sana na kwa kirefu.
Ukweli wanaume wamegeuzwa watumwa wa wanawake sababu ya uroho wa quuma pamoja na ego zisizokuwa na maana.
Wanaume licha ya kupewa akili na nguvu nyingi kuliko wanawake, bado rate ya me kufa ipo juu kuliko ya ke.
Mnaweza zaliwa mwaka mmoja na mwanamke ila kwenye kufa ke atakufa miaaka 20 au 30 baadae. Hii ni sababu jamii imempangia mwanaume majukumu mengi yasiyo na usawa, plus me naye anajiona kama mtumishi wa ke kwa kila kitu.
Sasa ni wakati wa kuamka, mwanaume jukumu lako la kwanza na la msingi ni kujijali wewe mwenye.
 
Goooood! Nimekukubali aisee!
 
Wanawake wapo wengi sana, wake bora, mama bora na walezi bora wa watoto. Acha kutaka sifa kuwa una demu mkali mjanja mwenye tako utawaona wengi tu.
Ni fantasy za mwanaume kuwa na mke bora atakaekuwa Mama na mlezi bora wa watoto.
Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke bora. Wote ni sawa tu, wabinafsi, choyo, chuki na wivu wa kijinga ndii zao.
 
Hayo unayoyasema hayajaanza miaka hii bali ilikuwepo tangu zamani sana kwamba jamii iliwabrain washed wanaume wawatumike wanawake au kuwa controled kwa ajili ya kutimiza matamanio ya wanawake mfano mzuri
ulikuwa ukitaka kuoa lazima utoe ng'ombe wa kutosha/mali au lazima upigane na mnyama mkali au kufanya jambo la kuhatarisha uhai wako ili tu umfurahishe huyu mchumba wako wa kike na familia yake na kunajamii zilienda mbali kama za zanzibar mwanaume unatakiwa uende kutafuta pesa na ukirudi nyumbani pia unabidi ufanye kazi zote za nyumbani huku mke wako kazi yake ni kujiremba na kupiga stori kiukweli wanaume tumekuwa slaved na wanawake for many milleniums ago through marriage and relationship nadhani kwa babu zetu hali ilikuwa mbaya zaidi yetu wao waliamini kupata mwanamke

ila kwa bahati nzuri miaka hii wanaume wengi wameanza kuamka ndio maana marriage rate inazidi kua ndogo kila kukicha na wanaume wengi wanajifunza huo unyonyaji wa wanawake uliokuwa ukifanywa kwa miaka mingi
wengi wao wanafata sasa(ideology ya MGTOW na redpill ungenda mtandaoni kufatilia zaidi kwa taarifa zaidi )
Huko miaka ya mbeleni ndio hali itazidi kuwa mbaya kama itatokea ww3 hapo ndipo neno la bwana litatimia kwenye (isaya4:1)
hizi ni baadhi memes ambazo ukizisoma unatajua kuwa wanaume wengi ila sio wote ila siku hizi wengi wameamka na hawataki kusikia tena kuhusu ndoa









 
Ni fantasy za mwanaume kuwa na mke bora atakaekuwa Mama na mlezi bora wa watoto.
Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke bora. Wote ni sawa tu, wabinafsi, choyo, chuki na wivu wa kijinga ndii zao.
Utajua mwenyewe na wanawake waliokuzunguka, Pambana na hali yako ila wanawake wapo waliolelewa kwa adabu, mabinti wa kitanzania wenye hofu ya MUNGU na walezi wa familia inategemeana tu wewe na circle yako ya wanawake.
Kwani dada na ndugu zako wewe wapoje? Mtu akioa kwenu imekula kwake?
 
Kila la kheri Mkuu hadi utakapojua wanawake wote kabila lao moja.
 

Mbele mbele wana wameustukia utapeli huu


Wana enjoy wenyewe tu bila stress.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…