Hivi sisi wanaume ndiyo tabia zetu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi sisi wanaume ndiyo tabia zetu??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Sep 29, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  Kwanini sisi wanaume tuhangaikiapo Demu kwa muda mrefu na kumpata na ukisha m-du unabaki ukijilahumu kwanini ulikuwa unahangahika hivi??hupati jibu?hata radha husahaulika!!nakuona kile kitu kama kitu chakawaida na value yake kuhisha!!Ila yule hambaye hajakukaangisha mahindi huendelea kumpenda!!kwa nini??
   
 2. chloe.obrain

  chloe.obrain JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanaume mpo wapi mbona hamjibu???? sijui nilikuwa natafuta nini huku lol!!!
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hata ukiwa na hamu ya soda ukiishakunywa na kukata kiu basi ile chupa unaifanyia vioja vingi sana mara utakuta inawekewa mafuta ya taa ndani yake mara mafuta ya kula.
   
 4. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,480
  Likes Received: 2,074
  Trophy Points: 280
  ni sawa na maji unapokuwa na kiu unaweza kuyatafuta kwa hali yoyote ila kiu ikiisha yanakuwa hayana thamani na chupa yake unaitupilia mbali

  kuna ile "law of diminishing marginal utility" inaelezea vizuri sana hiki kitu kwa wale wana uchumi tutakuwa tunaelewana
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  Hata mshumaa!!!:becky:
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Tupo!

  Inategemea na vitu viwili:
  1. mashine
  2. maumbile (hasa kisanvu). Kisanvu hupandisha hisia! Siyo unakuwa na dem kapigwa rula noma.

  Kama (1) ina tait na (2) ipo, LAZIMA URUDI! Hakuna cha maringo hapo.
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  :becky::becky::becky: Upendo wa mshumaa unajifanyia unakusaidia kuona huku unaisha taratibu
   
 8. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  The finest Nimekusoma chapa ilale!!:becky:
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  finest na ka kiiza fanyen mpango mrud kwa mungu
  NI NYINYI TU wanaume m sor baadhi ya wanaume amjatulia ata umpe afta 3minutes ya kukuomba mtamwagana au umpe afta 3yrs afta kukuomba mtamwagana pia
  DURABILITY INATEGEMEANA NA MUTUAL STANDING YENU BAINA YENU+CHEMISTRY BTN U 2+INTEREST=INADERTEMINE UWEPO WENU
  km ukikuta yaliyomo yamo basi ahh utatulia na msiwe bias ata kwa mademu pia ukionja ukikutafyafyafyaaaaaaaaaaaa babu doooooooro akhu lazima usepe kwa IYO SI NYINYI TU WANAUME NDO MNAOPANGA UYU NIWE NAE KWA MUDA GAN......... ni maridhiano baina zote mbili........nwai maombi mie byeeeeeeeeee
  tena 2b precs ni kwamba mademu ndo wanaopanaga uyu nimwekeje ......ao wanaolilia ni wale wafanyabiashara km alikuunda kimmkukuta zaidi basi poa atakulilia afta we kukatisha tenda bt yule wa ukweli ahhhhh aaaaaaaahh atachek mara 4 4 uyu niendelee nae au niomsepeshe......DEMU NDO ANAPANGA SI MAN(naongelea mademu wa ukweli si wafanyabiashara ambao mnawapangia nyinyi uyu afta kunizungusha nikae nae au nimsepeshe afta kupata ulichotaka.........)
  bt msifanye ivo si vyema ata km alikuzungusha we kuwa nae tu syo afta kupata mzigo wa wasepa.......
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wewe endelea kunifanyia huo mchezo mimi nakutizama tu bado :confused2: hatua za kuchukua
   
 11. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hii kali, lakini hata wanawake afta ku do tunawaona wa kawaidaaaaa
   
 12. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ahh
  nasubiri...........m watng
   
 13. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hii ni lugha gani? kiswahili hakuna kiingereza hakuna, kiswanglishi siyo!kazi ipo,
   
 14. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tatizo tamaa,wanaume tunatamaa sana,unataka kila mwanamke ampitie,na sijui atapitia wangapi,ukijieheshimu utaona wanawake wote ni sawa.
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  wafanya kazi bakita kaka?
  inategemea unataka kuona kuona nini........km jicho umelipanua kuona kingereza au kiswahil wategemea na wewe
  -kwani we mwalimu wa kiswahilli??
  we mlengwa wa kushoto?
   
 16. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  bt asante kwa masahihisho............thax so much!!!!!!!
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  Sep 29, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  MIKE 1234 ............i ni nomino au namba?oooooooooh ni plate namba kumbe guuuuuuuuud........mkopo swt at??umejikomboa.
  gud aftanun n byeeeeeeeeeeeeeee!!!!!
   
 18. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #18
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  tena tunatamani tuwatemee mbaliii,so it happens kwa both sex
   
 19. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  guuud,boys mnapenda kuonekana vidume vya mbegu,kila sketi unaitamani after all unakuta pote sawa hakuna ladha tofauti sema wewe tu unajiachia
   
 20. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #20
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45

  Duh! Kiswanglishi chako kigumuuuu!!
  Ingawa mimi sikubaliani na mtoa hoja! Kama anajilaumu ni yeye, mimi sijawahi kujilaumu.....pengine nalenga KUNAKO!
   
Loading...