Hivi sisi tunakosa nini haswa

Hivi sisi tunakosa nini haswa

Sasa sisi wenye vipato tutaishije sasa.
Siku za nyuma hatukuwa na pesa wala gari tulipigwa vibuti kila wakati na roho zetu ziliuma sana.

Hatukukata tamaa tukahangaika sana na sasa Mungu katujalia leo pesa ya mboga sio shida na tena mnadai hatufai sasa tufanye nini sasa??

Hii dunia haiko fair kbs kama ndio hivi
 
kuna mshkaji wangu kinyozi salun ya kitaa, yeye na mke wake daah, yaani mpk raha!
 
Yakupasa ushukuru kwa yote!
Natamanigi sana maisha ya hao watu but shida ni kwamba siwezi kuayaishi! but it seems wanaenjoy sanaaa..


My dear kitanda usichokilalia huwezifahamu wingi wa kunguni wake, hata wao wanatamani maisha kama yako lakini ndio hivyo tena
 
Kwahiyo lengo ni kutaka sisi tujue una mali ya urithi???usikute ni maskini balaa bando yenyewe umeipata kwa ngama.

Ok.

Sisi tunadiscuss maisha rafiki si kama unavyowaza au ulivyocomment hapo juu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom