MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,136
- 3,924
Fundi cherehani kaoa ana familia,muosha magari kaoa,muuza mkaa,mbeba taka hapa kitaa kwetu ana familia,muimba kwaya anaevaaga mabwanga kamuoa demu niliyemuacha lakini demu kapendeza sasa hivi.
Sasa mbona watu wa hali ya chini(sijawadharau wala mi si tajiri) wanaoana na kuwa na familia zenye furaha lakini watu jamii yangu hatuoi?
Unakuta wale wanaokutumikia na kukuita boss wana familia.Kwa nini lakini iwe hivi?Tuna nini?