Hivi sisi tunakosa nini haswa

Hivi sisi tunakosa nini haswa

Hahahaa mleta mada kaleta kwa huruma hiii topic... Nyiee endeleeni kuona nyumba magari etc ndio vinaoa.....Muangalie na tabia zenu pia hovyo hovyo umechezea wadada hapo mtaani,ujana wako umekula sana wadada utampata nanii wa kumuoa,na hata ukimpata ndoa haidumu
Mungu tu anipe wa kufanana na mimi lakini sio hawa magubegube wenye stress za kutaka kuoa
Mtu umezalisha wanawake watatu kweli?na bado unatafuta kuoa asalalee.
 
Hawataki uliesoma na hawataki uwe tegemezi mana utakua unamchuna tu
 
Hahahaa mleta mada kaleta kwa huruma hiii topic... Nyiee endeleeni kuona nyumba magari etc ndio vinaoa.....Muangalie na tabia zenu pia hovyo hovyo umechezea wadada hapo mtaani,ujana wako umekula sana wadada utampata nanii wa kumuoa,na hata ukimpata ndoa haidumu
Mungu tu anipe wa kufanana na mimi lakini sio hawa magubegube wenye stress za kutaka kuoa
Mtu umezalisha wanawake watatu kweli?na bado unatafuta kuoa asalalee.
Hapo sasa....

Mwanamke akifikiria kulea watoto 3.....

Mbaya zaidi ukute baby mamas wanamidomo kama chuchunge.....

Lazima atafute sana wa kuoa
 
Mwanamke anataka Apendwe

Aheshimiwe

Atunzwe...

Ajaliwe.....

Mwanamke anahitaji rafiki....
Mlinzi.....

Mwanamke anahitaji mwanaume anayeweza kusimama kwa ajili ya familia.....

Ni baadhi tu...nikipata muda nitaandika zaidi
 
Hapo sasa....

Mwanamke akifikiria kulea watoto 3.....

Mbaya zaidi ukute baby mamas wanamidomo kama chuchunge.....

Lazima atafute sana wa kuoa
Hivi hiii imekua ni fashion?kila unaegusa ana watoto wawili au watatu mama tofauti,ukicheza na wewe unakua wa nne
Unabaki tu kujisemea cha kutesekea nini ukaolewe na mume watoto wawili mama tofauti kuongeza tu bif za kijinga mjini
 
Mwanamke anataka Apendwe

Aheshimiwe

Atunzwe...

Ajaliwe.....

Mwanamke anahitaji rafiki....
Mlinzi.....

Mwanamke anahitaji mwanaume anayeweza kusimama kwa ajili ya familia.....

Ni baadhi tu...nikipata muda nitaandika zaidi
Wanawake huwa hawajulikani wanataka nini, ukitafuta pesa atasema haumjali na ukizidisha kumjali atatafuta sababu nyingine.
Kuna story moja nilipewa na mzee flani kwamba Mwanamke unaweza mfungulia biashara na mtu mmoja akawa mteja wake mzuri tu, ikitokea yule jamaa akakata kuja dukani na baadae akaresume kuwa mteja mzuri lakini karudi na nia ya kummega yule mwanamke, chances are very high atammega
 
Kwa wanaodhani wanawake hawajui wanachotaka ndio hukaa na kuhangaika......... wakikosa huconclude wanawake hawajua wanachotaka
 
kutaka wenza ambao ni zaidi ya malaika, awe na vigezo vyooote katika kila movie,hadithi& kitabu ulichosoma nakusahau mengi ni yakufikirika

pia kukosa uvumilivu mtu akikosea unajifanya huwez vumiliavunasonga mbele ndo kusonga mbele hakuna mwisho

ubinafsi kuhitaji kila kitu kikufaacho wewe tu & kujilainisha nakudeka hovyooo, kuchagua kazi
 
Unaoa/kuolewa na mtu mnayeendana. Watu wa chini kama ulivyowaita wanaoa wenzao wa chini na wa juu anatafuta wa juu mwenzake. Ukijaribu kwenda kuoa mtu ambaye ni nje ya level yako chances are ndoa haitafanikiwa. Level inaweza kuwa dini, kabila, utaifa, rangi, kipato u name it inategemea na level ambayo wewe unazingatia zaidi

Duniani watu wengi wameoa/kuolewa na watu walio juana tokea zamani kuliko wanaokutana tu na kuamua kuoana, coincidence?
 
Mwanaume mwny pesa wanajisikia sana na wana dharau mno ni bora umpate mwny kipato cha chini mkaheshimiana ndan kuliko wenye magar ukalia kila cku na kwanza hamwez kupata mke mtaishia kuchunwa tu
 
Nyie hamjamuelewa tu mleta mada!!
Sijaona kama amespecify kama keshawahi kupiga-vocal akapigwa kibuti (siamini kama kuna mwanaume mwenye mkosi kiasi cha kupigwa kibuti kila kona!)
anachokitaka/subiri ni KUTONGOZWA na hao wanawake wadhuri-wadhuri. Mtongozeni basi na nyieee....
 
Fundi cherehani kaoa ana familia,muosha magari kaoa,muuza mkaa,mbeba taka hapa kitaa kwetu ana familia,muimba kwaya anaevaaga mabwanga kamuoa demu niliyemuacha lakini demu kapendeza sasa hivi.

Sasa mbona watu wa hali ya chini(sijawadharau wala mi si tajiri) wanaoana na kuwa na familia zenye furaha lakini watu jamii yangu hatuoi?

Unakuta wale wanaokutumikia na kukuita boss wana familia.Kwa nini lakini iwe hivi?Tuna nini?
Kwahiyo lengo ni kutaka sisi tujue una mali ya urithi???usikute ni maskini balaa bando yenyewe umeipata kwa ngama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom