Hivi sisi tuliofeli katika maisha huwa tumekosea wapi, na tufanye nini kujiokoa?

Unafundisha havard ya wapi aisee
Amesema anafundisha wanafunzi wa havard sio Harvard chuo .Online unaweza kumfundisha yeyote hata profesa kwa kuwa una skills ambayo yeye hana.
Swali.
Ina maana mtu akiwa memba JF hana uwezo wa kufundisha Havard.Kule Harvard wanafundisha malaika? Mtoa swali unaugonjwa wa inferiority complex of believing in white people.
 
Amesema anafundisha wanafunzi wa havard sio Harvard chuo .Online unaweza kumfundisha yeyote hata profesa kwa kuwa una skills ambayo yeye hana.
Swali.
Ina maana mtu akiwa memba JF hana uwezo wa kufundisha Havard.Kule Harvard wanafundisha malaika? Mtoa swali unaugonjwa wa inferiority complex of believing in white people.


Humu jf hutakiwi kuwa smart mkuu yaani ujue vitu vingi wenzako hatupendi hivoo ..ukiwa smart utaitwa mjuaji! Kariri na hili😀
 
Amesema anafundisha wanafunzi wa havard sio Harvard chuo .Online unaweza kumfundisha yeyote hata profesa kwa kuwa una skills ambayo yeye hana.
Swali.
Ina maana mtu akiwa memba JF hana uwezo wa kufundisha Havard.Kule Harvard wanafundisha malaika? Mtoa swali unaugonjwa wa inferiority complex of believing in white people.
Mimi mwenyewe nimemshangaa sana..
 
Ndiyo hivyo mkuu,

Communication skills + persuasion + selling hizi ni Skills za muhimu sana

Vile watu hawajui tu.

Mimi sijawahi pata college degree lakini nafundisha wanafunzi wanasoma Harvard

Wala sijisifii.

Kabla ya hapo nilikuwa mjinga tu sifahamu namna gani ninaweza kujifunza kuwasiliana kwa usahihi + kujaribu kushawishi watu wakubaliane na idea zangu + kuuza.

Sisemi ni rahisi lakini inawezekana sana tu.

Ukishidwa kutengeneza at least $300+ kwa mwezi kwenye hii dunia ya teknolojia sijui utaweza wapi tena.

Cheers
Hii skills mkuu mi.nlijifunza kuanzia form six...mwalimu wangu akiwa form five😁😁😁 na nlibase zaidi kwenye women super power seduction.....baada ya hapo chuo nikaanza kujifunza the art of dominance na persuasion......aisee mi na recommend watu wajifunze tu...
 
Huu ni uzi wa pili wenye maudhui yanayofanana toka kwa huyu mleta mada, na mimi nulishauri hiki ulichomshauri, abidili mazingira, aina ya marafiki na mbinu anazotumia kutafuta hela, asione vibaya kwenda kuanza upya ktk mazingira tofauti. range ya miaka 5 inamtosha kufanya jambo la kuepuka umaskini.
sure na ajue kabisa kua akinywa chai kwenye mgahawa wa sh 200 atapata idea na marafiki na connection za sh 200...lakini angalau akijitutumua na kunywa chai sehemu zenye gharama nae atapata mawazo ya gharama na marafiki wa gharama
 
Unafikiri Moe,Bakhresa,Dangote wanatumia nguvu?
Scenerio 1. Kuuza juisi ktk nabegi.
Kijana kagraduate kisha anaingia mtaani anakuta hakuna ajira Anapata habari kwa moe kuna baiskeli na mabeg ya juisi za ukwaju.Anakwenda kuomba kazi, anapewa begi kwa kulinunua kisha anaingia kuuza.
Kumbuka ukwaju upo tele,sukari ipo tele,vifungshio vipi tele mtaani.
Swali nani api aliefanikiwa.Anaebeba begi au aliekuuzia begi?
Binafsi huwa nawaona wanaobeba nabegi ya ukwaju they don't think.Wangefikiri kidogo tu,wangeweza kubeba mabegi yao ya ukwaju na si ya moe.
Scenario 2. M-PESA nk
M-pesa tigo-pesa was designed very intelligently! Unakwenda kununua line ya pesa,unasajiliwa kisha unadepisit money then unaanzisha kibanda cha kutoa huduma kwa mtaji wako sio wa Vodacom,Tigo,nk. Mwisho wa siku Kampuni zinakupangia faida(Haya ni matumizi ya akili sio nguvu) Nduguzangu watu wanaofanikiwa hawatumii nguvu bali akili.Watanzania wengi tunakazania matumizi ya nguvu na si akili.
Muda wa kutumia nguvu ulishapita tujifunze kutumua akili.Mtaalamu wa physikia profesa Michio kaku alihojiwa na kituo cha SABC akajibu hivi"Africa must shift from using capital goods to intellectual goods" Chukua hio.
And they must know that... this is not industrial era...this is information era ...work smart...working hard will only make them tired...
 
Kama kichwa habari kinavyojielezea, hivi sisi tuliofeli katika maisha ni wapi tuliopokosea? Na nini cha kufanya kutoka katika shimo hili maana umri unasonga bado tupo shimoni.
Fanya sup
Mkuu uliza wa chuo hapo ukifeli Amna msaada tenaa
 
Hard work and smart work are quite different things but share the same coin.Tumekaririshwa shuleni tufanye kazi kwa bidii na si kwa weledi.
Hakika tunafeli kwa sababu tunakazania bidii ambayo ni physical strength wakati weledi ni mental strength. Akili na nguvu kipi kianze? Hapo ndio tunapofeli.Wazungu wenzetu wameacha hata kazi za kutumia nguvu na wanakuwa mamiliona only using brain.
Mkuu Mimi sina hakika Kama Kuna kazi inaweza kufanyika bila kutumia akili.Labda mnisaidie hiyo kazi.Shida kubwa kwetu kwa mtazamo wangu ipo kwenye kuset targets,kufanya evaluation ya kile tulichokifanya kwa muda husika vs achievement.Tatizo kubwa zaidi lipo kwenye kufanya maamuzi.Mfano Kati ya watanzania 10 ni wawili tu wanaweza kufikia maamuzi ya kuacha kazi ambayo wanaona haiwalipi vizuri na kuamua kufanya kitu kingine au kutafuta kazi nyingine.wengi wetu tukishapata kazi sehemu ndo tunakuwa tumefika
 
Acha tuu,kweli kuna wengine wana ngekewa kabisa.Wengine kila ukipiga mahesabu yanagoma hatari.Mwaka jana nilikutana na Mamate flani wa chuo ebwana tulipanga tukutane tupige story kama tulivyokuwa tupo Discussion shuleni.Mie nilibaki natoa tu macho nimeingia na bodaboda,jamaa kila mmoja ameingia na ndinga lake.Kimbembe kingine wakaanza kuonesha picha za mijengo ambayo wanaelekea kuikamilisha.Daaah! Nilikuwa mnyonge jamaa wakaanza kupata hofu nikawaeleza naona wife amenitext mtoto amechemka ghafula na hana nauli ya bajaji na mie nilisafiri kidogo.Lakini nikajiuliza nakwama wapi na jamaa wanafanikiwa vipi.Itoshe tuu kusema kila mtu ameandikiwa ridhiki yake humu duniani.
mzee ulikosea,ilibidi ukomae nao wakupe mchongo wanaofanya
 
Afadhali[ umesema.patience pays.QUOTE="Lecheminduroi, post: 36176160, member: 502873"]
Endelea kumuomba Mungu huku ukiamini katika kesho

Liverpool imesubiri zaidi ya miaka 30 kubeba taji la EPl

Mzee wa KFC alisubiri mpaka kwenye 60's ndio akafanikiwa

Amini katika kesho mzee umri ni namba tu
[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom