Hivi sisi tuliofeli katika maisha huwa tumekosea wapi, na tufanye nini kujiokoa?

Basic needs

Food

Shelter

Clothes

Health

Education

Kimoja wapo kikikosekana hapo basi jua ww ni mhanga katika maisha
 
Endelea kumuomba Mungu huku ukiamini katika kesho

Liverpool imesubiri zaidi ya miaka 30 kubeba taji la EPl

Mzee wa KFC alisubiri mpaka kwenye 60's ndio akafanikiwa

Amini katika kesho mzee umri ni namba tu
Sina hakika Kama mbinu hizi ni sahihi.Njia pekee nadhani ya kutoboa kwangu Mimi moja ni kufanya kazi kwa bidii kufikia lengo ulilojiwekea,pili kujifanyia tadhimini Kama umefikia malengo ndani ya muda na Kama hujafikia nini ilikuwa tatizo and how to improve going forward.ila kumuomba Mungu na kusubiria while you keep doing same thing everyday utasubiri sana hayo mafanikio
 
Huu ni uzi wa pili wenye maudhui yanayofanana toka kwa huyu mleta mada, na mimi nulishauri hiki ulichomshauri, abidili mazingira, aina ya marafiki na mbinu anazotumia kutafuta hela, asione vibaya kwenda kuanza upya ktk mazingira tofauti. range ya miaka 5 inamtosha kufanya jambo la kuepuka umaskini.
Boss wangu amewahi kushauri kwamba you don't need to work for an organization for more than 5years kwa wale waajiriwa wenzangu
 
Hivi unajitangaza umefeli kimaisha kwa kigezo gani? Nini hasa kinakuhakikishia wewe umefeli kimaisha. Majibu yoyote hutoka mwisho wa tukio kwamba umefeli au umefaulu... sasa je wewe umefika mwisho na ikaamuliwa umefeli????? huyo mtoa majibu ni nani????
Maisha ni mapambano.... majibu hutoka ile siku unasikia watu wanaporomosha udongo juu yako huku wanalia!!!
 
Mkuu Kama wewe huishi kisiwani,naamini hapo mtaani kwako au maeneo unayozingukia Kuna watu wenye mshiko kuliko wewe,kujiuliza tu why sipo Kama yule au kushindwa kupata kwa wakati kile moyo wako unatamani ni dalili za kufeli tayari na haijarishi hadi muda huo una nini
 
Hahaha,kabisa aiseee.Watu wengi Wana uwezo wa kupata hizo basic needs..lakini wanaona umri unaenda bila kutimiza ndoto walizo jiwekea katika maisha yao.

Mahitaji ya msingi ya mtu ndio kitu cha kwanza nijuavyo mimi.
Ndoto ni kitu cha pili. Ukiona mtu mpaka anakuja lalama huku. Mahitaji ya msingi yamekuwa changamoto. Huwezi wapa wanao elimu nzuri, kula ukitakacho. Kumudu huduma muhimu kama afya. Kuvaa na Makazi bora.
 
Natamani kujifunz machenics ila ndugu na jamaaa wananipa ahad zisizo timia kila siku
Anzia you tube,gereji au workshop ukamalizie.We are in the world of technology, kila kitu kipo mtandaoni.Hadi engine models za animation ambazo chuoni ni hadithi utazipata.
I believe in internet.Mimi nilisha acha kwenda vijiweni, kijiwe change ni internet.kuna website kama codacemy,w3,khan academy nk.Zinakozi nyingi sana.Lakini kuna MIT free courseware, Birmingham university, Oxford vyote vina free course.kuna miit cha India sana lecture za kutosha.Yaani ni internet we we tu mkuu.
 
Unaweza kuta mleta maja yuko kwenye shughuli moja ya hizo ila still hajafika panapotakiwa.
Mkuu sasa hivi kuna ushindani kila eneo.Kuna siku nimeenda kwa fundi kumpelekea simu abadilishe charge system.Hapo hapo kaanza kuzalisha matatizo mengine,Mara badili display.Nikagundua kazi hazipatikani au ameharibu soko lake mwenyewe sasa wateja ni wa manati.
 
Sina hakika Kama mbinu hizi ni sahihi.Njia pekee nadhani ya kutoboa kwangu Mimi moja ni kufanya kazi kwa bidii kufikia lengo ulilojiwekea,pili kujifanyia tadhimini Kama umefikia malengo ndani ya muda na Kama hujafikia nini ilikuwa tatizo and how to improve going forward.ila kumuomba Mungu na kusubiria while you keep doing same thing everyday utasubiri sana
Kama huna kazi je
 
Hivi unajitangaza umefeli kimaisha kwa kigezo gani? Nini hasa kinakuhakikishia wewe umefeli kimaisha. Majibu yoyote hutoka mwisho wa tukio kwamba umefeli au umefaulu... sasa je wewe umefika mwisho na ikaamuliwa umefeli????? huyo mtoa majibu ni nani????
Maisha ni mapambano.... majibu hutoka ile siku unasikia watu wanaporomosha udongo juu yako huku wanalia!!!
Haya mambo yapo wazi
.
Kwanza umri wangu na assets
 
Back
Top Bottom