Hujafeli bado tafuta washauliKama kichwa habari kinavyojielezea, hivi sisi tuliofeli katika maisha ni wapi tuliopokosea? Na nini cha kufanya kutoka katika shimo hili maana umri unasonga bado tupo shimoni.
Leeds imesubiri miaka 16 kurudi EPL.Endelea kumuomba Mungu huku ukiamini katika kesho
Liverpool imesubiri zaidi ya miaka 30 kubeba taji la EPl
Mzee wa KFC alisubiri mpaka kwenye 60's ndio akafanikiwa
Amini katika kesho mzee umri ni namba tu