Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,101
- 136,758
huyo mwandishi/reporter anavyo ripoti utafikiri mtu kuchomwa moto ni sheria ya nchi lol!!
Sisi sijui tuna mioyo ya namna gani tu!?
Sio sisi tu. Binadamu mkuu.. We can be cruel and sadic...Sisi sijui tuna mioyo ya namna gani tu!?
Sio sisi tu. Binadamu mkuu.. We can be cruel and sadic...
Kumbuka wakati hapakua na serikali ya nguvu
hata Europe/US na Asia yalitokea. Saa zingine hata zaidi...
When people don't trust the formal justice system wataazibu wenyewe
na matokeo yake ndio hayo. the mob doesn't think.
Inatisha sana, hasa ukikumbuka kua kila mtu ana haki ya kujitetea ashtakiwapo.Inatisha kwa kweli!
Inatisha sana, hasa ukikumbuka kua kila mtu ana haki ya kujitetea ashtakiwapo.
hapo ukute kesi ingeenda mahakamani maybe angekua sio tapeli by law
au wangepata namna ya kumlipa yule alie tapeliwa, na huyu akafungwa miaka kadhaa
Now it can't be undone, na mali yake hapati. Mmoja katapeli, wengi wameua... so sad.
Kwanza kuna hayo: unajuaje huyu mtu yuko guilty?Sasa tuseme imetokea case ya mistaken identity...si mtu asiye hata na hatia anaweza akapoteza maisha yake hivi hivi...
Huu mtindo ni mbaya sana.
Tatu kuna ile complicity wa watu. They are all criminals
Huyo alie recodi, na hao walio mchoma, na waliokuwepo
Wako sahihi.......tabia mbaya lazima zionyeshwe zikiwa na matokeo mabaya.....ifuate waonyeshe ulevi ni mbaya kuanzia mwanzo hadi mtu anapokosa fahamu kabisa