Hivi shida ni nini?

Hivi shida ni nini?

Usihangaike sana na mapenzi, angaika sana na hatma yako. Usihangaike sana na ndoa, angaika sana na furaha ya maisha yako. Kwenye ndoa unapata kinoja tu, ambacho ni social respect. Vingine vyote ambavyo vinavyopatikana kwenye ndoa, vinapatikana pia nje ya ndoa. Huna haja ya kuwapa watu nafasi ya kukuchagulia maisha ya kuishi, ishi upendavyo.

ni jisni ya kutumia pesa ndio shida mfano kwangu haziishi
 
Why unakuta mtu unayempenda wewe wala hajali hisia zako.Lakini ambao huwapendi unakuta yanakugandaganda kama ruba mwisho wa siku unajikuta unaolewa tu na usiyempenda hasa kwa upande wetu sie wadada maana ukisema uringeringe unaweza jikuta unazeekea kwenu but why hii kitu inakuwa ngumu kukuta wote mko real in love.Au ni mie tu kwangu ndo inakuwa vice versa.
ukimuomba Mungu kwa juhudi anakuletea mtu utakaempenda na yeye kukupenda,Mungu atakutengenezea conducive environment kwa wewe kukutana na umpendae.
kwa Mungu yote yanawezekana
 
Hayo ndio mapenzi hayanaga formula unayempenda hakupendi na anayekupenda humpendi lakini tunazaana na maisha yanaendelea
 
Mim mwanamke asiponipa stress huwa sifurahii mapenzi ndo maana natafutaga ninayempenda yani akiweka status tu naenda kufungulia mapango ya amboni
 
Why unakuta mtu unayempenda wewe wala hajali hisia zako.Lakini ambao huwapendi unakuta yanakugandaganda kama ruba mwisho wa siku unajikuta unaolewa tu na usiyempenda hasa kwa upande wetu sie wadada maana ukisema uringeringe unaweza jikuta unazeekea kwenu but why hii kitu inakuwa ngumu kukuta wote mko real in love.Au ni mie tu kwangu ndo inakuwa vice versa.
Binadamu vibur tu na tamaa wala hamna lolote...utawezaje kuishi na mtu ambae hujampenda.....je waweza kuolewa na kichaa kwa kuogopa kuzeekea kwenu...tamaa zinatuponza....
 
Utampenda tuu siku zinavyosonga mbele!

Ukitaka ufurahie ndoa basi fanya juu chini uolewe na anayekupenda! Naamin utaishi kama Malkia
Shida ni kwamba unataka unaempenda kwanza....uliona wapi.....aliepewa jukumu la kupenda ni mume, then mke ana jukumu la kutii....ukiwa na adabu na heshima utampata tu atakaekupenda kwa dhati.....
 
Unaempenda na yeye anampenda mtu mwingine

Huu mzunguko na kama unavyojua cycle haina mwisho
Haya ndo maisha
 
Shida ni kwamba unataka unaempenda kwanza....uliona wapi.....aliepewa jukumu la kupenda ni mume, then mke ana jukumu la kutii....ukiwa na adabu na heshima utampata tu atakaekupenda kwa dhati.....
Ndo mana nasema tutawakubalia tuu wanaotupenda!
 
Why unakuta mtu unayempenda wewe wala hajali hisia zako.Lakini ambao huwapendi unakuta yanakugandaganda kama ruba mwisho wa siku unajikuta unaolewa tu na usiyempenda hasa kwa upande wetu sie wadada maana ukisema uringeringe unaweza jikuta unazeekea kwenu but why hii kitu inakuwa ngumu kukuta wote mko real in love.Au ni mie tu kwangu ndo inakuwa vice versa.
Ni wewe tu... hili tatizo lako ni kubwa saana linahitaji vipimo yakinifu njoo nikupime.

Kisha nenda pharmacy nunua vidonge vinavyoitwa Asprin.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom