Hivi shida ni nini? Kila mahusiano nikiingia nikijaribu kutumia namba ngeni kumtongoza mpenzi wangu anakubali

Kwa namna moja upo sahihi chakufanya embu jaribu umuelekeze na hotel ulipo je atakuomba hela wewe wa nyumbani na akikuomba mpe alafu mwache aende akirudi mwambie humtaki tena bado nikupe mwingine kaka
 
Kila mtu hupata anachokitaka
 
Sasa kwanini umtongoze tena mchumba wako, unategemea nini? Toa pesa za kutosha za matumizi halafu mtongoze tena, utakuja kunishukuru
 
Sasa wangekuwa wanakataa wewe ungewapataje? Kwani toka umeanza kutongoza kuna mwanamke aliwahi kukukataa? Unafikiri hawana wanaume wengine?
 
WE JAMAA SIPATI PICHA SIKU UKICHAPIWA ITAKUWAJE.....

PUNGUZA INSECURITY
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kikubwa mda usogee tuu mana kwa hii swaumu hapana jamani..
Eeeh kwahiyo kila namba yee anakubali tuu...
Sasa fanya serious ishu tuma namba kwa wajuba hapa ili tuone inakuaje kuaje hadi anakubali
 
Hutoi matunzo demu anayegharamiwa hacheat hata ukiwa na cash kiasi gani na hujui kupiga kitu ikaacha cheche unachafua tu k zawatu unawaacha na hamu zao. Kila kitu huwezi. Piga tu pungetoo
 
Km hutaki kutwa stimu,acha huo mchezo! Af hata anayeenda kununua nguo dukani haendi mtupu!Uckute hao sio rizki Yako ndio maana wanapotea kwny stage ya mwanzo kbs kukuepushia makuu
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kikubwa mda usogee tuu mana kwa hii swaumu hapana jamani..
Eeeh kwahiyo kila namba yee anakubali tuu...
Sasa fanya serious ishu tuma namba kwa wajuba hapa ili tuone inakuaje kuaje hadi anakubal
Wote watano na nimejaribu mara tano kila dem mara moja cyo kama mmoja nimemtongoz mara hapan hujanielewa
 
Pig
Piga chini wote tafuta pesa, rundika pesa ukizihesabu unapata raha zaidi ya kuwa na madem na zaidi ya kula madem
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ