Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,814
- 95,726
Poa poahao watu wa jf wanao waponda hao single mother ni wehu tu "" hakuna koo au familia inayokosa single mothers'' by the way usijali "" tuko pamoja...nimekuelewa ""....
Poa poahao watu wa jf wanao waponda hao single mother ni wehu tu "" hakuna koo au familia inayokosa single mothers'' by the way usijali "" tuko pamoja...nimekuelewa ""....
AsanteKama kweli hongera mungu akubariki mno maana inaonyesha ulitumika sana
Si ajabu nae alipatikana hivyohivyoo!!Unamzungumzia mdogo wako wa kike?
Nadhani.Unamzungumzia mdogo wako wa kike?
Wanaume hawa cheat bali wanapanda mbegu, ATM haitakiwi inga'ang'anie kadi dadanguNa wale wanaume wanaokamatwa wamecheat huwaga wanasema malaika amewapitia eeh?
Eti eeeh. Sikuwahi kujua mwayaaWanaume hawa cheat bali wanapanda mbegu, ATM haitakiwi inga'ang'anie kadi dadangu
Haha..umeona eehEti eeeh. Sikuwahi kujua mwayaa
Alishaniambia kuwa amechoka kusingiziwaKuna siku shetan atakata rufaa