[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Unamzungumzia mdogo wako wa kike?
Polee..shetani yupo lakini.Wee acha tuu
Mbona nyie mkicheat mnamsingizia shetani. Pole mkuu..walaumu wanaume wenzako kwa kumuharibu, ndo mlivyo!Yupo lakini anapakaziwa mambo mengi sana hivi ingekuwa hayupo mngekuwa mnampakazia nani
Alafu ana generalizeUnamzungumzia mdogo wako wa kike?
Nadhani ni ushamba wako ndugu yanguSijawahi kusikia mwanaume anasema eti shetani kampitia labda mimi ushamba wangu