Hivi shetani aliwafanya nini wanawake?

Hivi shetani aliwafanya nini wanawake?

hao watu wa jf wanao waponda hao single mother ni wehu tu "" hakuna koo au familia inayokosa single mothers'' by the way usijali "" tuko pamoja...nimekuelewa ""....
Poa poa
 
Kumpa ujauzito manzi ni uzembe,mademu zangu wote hakuna hata mmoja alieambulia ujauzito, uwa nauliza kama yupo napiga free tofauti na hapo soksi inabidi iusike wananipenda balaa kwa upande mwingine ni changamoto kwangu siulizwi chochote hata nikiamua kupiga kavu.
 
Aliwakomesha pale alipoanza na Eva mwanamke wa kwanza kuumbwa
 
Hawa mabinti wa kuzalia nyumbani vichomi kweli, unakuta huo mzigo mnabebeshwa ma uncle, huku unahangaikia familia yako huku wapwa. Shida kweli kweli..
 
Na wale wanaume wanaokamatwa wamecheat huwaga wanasema malaika amewapitia eeh?
 
Atakaeweza kufanya selfie na shetani Pse, atuekee humu. Itatusaidia namna ya kumkwepa
 
wewe mwenye ndio wakujilaumu....siata aukishaona anaanza mambo ya mgegedo mkalishe chini alafu unampiga biti la ukweli....yaani achana na hayo mambo au nitakuua with my bare hands....yaani mie hapo ndio nilikuwa nawapendea wapakistan...upuuzi wa mtot wa kike kuleta aibu kwajina la familia halipo....sie wenye wana ndugu tunakushugulikia.
sio hapa tz tunajidai maadili hamna lolote. wazazi watoto wote hamnazo.
 
Sasa ameshapitiwa hadi na SHETANI kuna msichana hapo tena
 
Alichomfanyia Eva ni hichohicho anachowafanyia wanawake. Ndio maana unaambiwa ukae na mwanamke kwa kutumia busara na uvumilivu wa hali ya juu. Ujue Adam alishindwa kuvumilia sembuse wewe ila jipe moyo
 
Back
Top Bottom