Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,814
- 95,726
Sisi tunaodate nao ndo tunajua. We huwezi kujuaSijawahi kusikia mwanaume anasema eti shetani kampitia labda mimi ushamba wangu
Sisi tunaodate nao ndo tunajua. We huwezi kujuaSijawahi kusikia mwanaume anasema eti shetani kampitia labda mimi ushamba wangu
Kitu ambacho kiukweli kabisa siwezi kukumbuka ni hichoUshadate na wangapi mpaka sasa
hahaha....kwani kuwa single mother ni laana "" tatizo Humu ndio mnakuza mambo huko mitaani Hawa ma single mother wala Hawa baguliwi kwa kiasi hiki tunachokiona Humu JfMbona nyie mkicheat mnamsingizia shetani. Pole mkuu..walaumu wanaume wenzako kwa kumuharibu, ndo mlivyo!
Maskini keshakuwa single maza tayari..sad.
kwani si amesema ukweli wake ....hata mimi mwenyewe ijapo kuwa ni mwanaume " sikumbuki pia idadi ""...Yesu wangu!!!!!
Wee umeolewa?
NdioYesu wangu!!!!!
Wee umeolewa?
Ha hahaha bwahahaha ha haha
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]Unamzungumzia mdogo wako wa kike?
Sina tatizo na single mazas, nawaheshimu sana. Sorry kwa hiyo comment yangu kukukwaza. Ni kwamba nimemtania tu mtoa mada kutokana na watu wengi hapa jf kuwaponda kila siku.hahaha....kwani kuwa single mother ni laana "" tatizo Humu ndio mnakuza mambo huko mitaani Hawa ma single mother wala Hawa baguliwi kwa kiasi hiki tunachokiona Humu Jf
hao watu wa jf wanao waponda hao single mother ni wehu tu "" hakuna koo au familia inayokosa single mothers'' by the way usijali "" tuko pamoja...nimekuelewa ""....Sina tatizo na single mazas, nawaheshimu sana. Sorry kwa hiyo comment yangu kukukwaza. Ni kwamba nimemtania tu mtoa mada kutokana na watu wengi hapa jf kuwaponda kila siku.
nimecheka kuona hiyo avatar yko ndio kichwa cha familia""....Nini tena mkuu