Hivi serikali na wananchi nani mwenye nchi?

Hivi serikali na wananchi nani mwenye nchi?

tusichoke

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
1,316
Reaction score
216
Nimemsikiliza Jaji werema Kupitia Startv ktk kipindi cha tuongee asubuhi hoja zake zimeegemea serikalini kuhusu muswada wa katiba,anasema wao hawataki watu wajadili muungano na mambo mengine ,swali je huo sio udikteta?
 
WAREMA ajui anayozungumza. Kwanza Zanzibar awataki kabisa Mungano why don't we leave them to decide for themselves ?? Kwa nini tuna lazimisha ???

Wenye haki na nchi ni wananchi wazawa WaTANZANIA.
 
Werema is a crap! He is working for those who put him in power and not the Tanzanian mass!
 
Back
Top Bottom