Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,343
- 6,913
Lose Nut ndo naniOya BIG tulia basi kwanza
Lose Nut ndo naniOya BIG tulia basi kwanza
Okay..
Chizi Maarifer umeona sasa?Lose Nut ndo nani
Provide empirical evidences zinazoprove kuwa mwanamke akiwa anagombaniwa sana anakuwa na utulivu na furaha piaNaaaaam baba paroko
Kwenda mwanike, ww. Kisukuma unakijua.Misamiati migumu hata siijui!
Naona umekuja na ID ya kufafana kidogo iwe rahisi kukumbukaKuna members naona wanajituma kinoma ila naona ni kama wanarusha jiwe kituo cha polisi.
Haaaaaaaaaaaaaaaah 😃 😀 😄 😁 na kwanini hajadisaprove I'd yake mpaka sasaChizi Maarifer umeona sasa?
Nimesema hakikisheni imethibitishwa huko sijasema kugombaniwaProvide empirical evidences zinazoprove kuwa mwanamke akiwa anagombaniwa sana anakuwa na utulivu na furaha pia
Hahaha kudata na nini tena? Naanzaje kudata haraka haraka?Hueleweki, umedata nn!
Now I can understandNimesema hakikisheni imethibitishwa huko sijasema kugombaniwa
Subiri aje kwanza mimi sitakuwepo hapaHaaaaaaaaaaaaaaaah 😃 😀 😄 😁 na kwanini hajadisaprove I'd yake mpaka sasa
Halafu kaka wewe ndo VRBOSE au tusubiri mwingineSubiri aje kwanza mimi sitakuwepo hapa
Mdogo wangu, ulikuwepo enzi za Faiza foxy? Alifungua uzi akawaita wote wanaomtongoza wajitokekeze wapange mstari wamtongoze live 😂Yani wananichosha hawa viumbe! Wanasababisha natukanwa naonekana najifungulia nyuzi na kujijibu sijui natoa wapi huo muda aisee!
BIG tulia kwanza basi usimwage upupu mapema subiri kuchangamke kwanzaNdoa zipi hizo qmmmk kama ni za wale mayaya hata siwazi wantolee kvma kavu!
Kwa hivi vitoto vya humu hata sitaweza mamaake! Sikuwepo namsikia tu aisee! Huko kitaani bwana mmoja wanawake 7 kwanini wasihangaike huko!Mdogo wangu, ulikuwepo enzi za Faiza foxy? Alifungua uzi akawaita wote wanaomtongoza wajitokekeze wapange mstari wamtongoze live 😂
Itabidi ufanye hivyo.