Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,654
- 83,335
Gladly!Kipenzi just moves on
Gladly!Kipenzi just moves on
Dahh mkuu haya mambo yanachosha! Wananiongezea maadui wapya kila kukicha🙌🏾Inasikitisha sana , unawavunja moyo shabiki zako kama mtu kaamua kukufungulia Uzi kwa upendo muache tu hao wanaotukana ni washamba tu
Oya naona unaanza kujaa kwenye system mwenyewe haya tuendelee tunamsubiria loose Nut nae ajeMembers gani embu wataje na type stori kwa ufupi kumbe Jf Kuna mambo yanaendelea halafu hatujui ?
Haaaaaah lose nut ndo naniOya naona unaanza kujaa kwenye system mwenyewe haya tuendelee tunamsubiria loose Nut nae aje
Tangu nimfungulie uzi Seran naona kuna mijitu baada ya kukataliwa nayo imeanza kufungua uzi ili ipendwe ila kwa ninavyomjua Seran alivyo na msimamo sidhani kama atahadaika kirahisi tuupe muda wakati
Hahaha ngoja aje utamjua vizuriHaaaaaah lose nut ndo nani
Badili sentensi hii kwenda kisukuma "Panzi mpitiwa"Another man down.
Nipasie Kichungi hicho kwanza halafu nikwambie ulichofanya
Oya BIG tulia basi kwanza
Na watakuroga nyau wewe 😁😁Dahh mkuu haya mambo yanachosha! Wananiongezea maadui wapya kila kukicha🙌🏾
Jamming 🎶 🎵View attachment 3604655
Njoo chukua!
Hueleweki, umedata nn!Oya BIG tulia basi kwanza
We si ndo Dr.Imethibitishwa huwa inaleta raha na utulivu kwa ke wote sasa kama haijathibitishwa naona mnatwanga maji kwenye kinu
Aashuo
Naaaaam baba parokoWe si ndo Dr.