Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,674
- 83,482
Hahaha mbona hatari mzee, nilishatoka hizo levels mzee wangu! kuna vibinti vingi tu humu acha wajizolee mimi namalizia menopause sitaweza hekaheka za vijana!Nyota inang'aa, naipalilia izidi kung'aa ili wenye misuli waweze kujimilikisha, nasema wenye misuli😅